Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Wanaohusika serikali inadai haiwafahamu. Nawafahamu na wanakaa Kinondoni na walifanya hivyo kwa maelekezo ya Rostam Aziz.

Walioenda Brela kusajili kampuni tuna picha zao na majina yaliyoandikwa ni ya uwongo.

Jina Kagoda linatokana na KATO na GODA.

Angalia nyaraka zilizoambatanishwa.

Baada ya Kagoda kufunguliwa, ilitakiwa itengenezwe account ambayo ilitengenezwa CRDB na mdhamini alikuwa Yusufu Manji (angalia attachment chini ya 1st post ikionyesha na account number).


CRDB jamani KIMEI KIMEI KIMEI utakuja kujiletea matatizo na wananchi watakuchukia huku una profile zuri achana na hawa wana si ha sa watakuharibia mkuuu,

Pili unahatarisha wana hisa kuikimbia Bank ya CRDB wakiziondoa HISA zao kwisha habari kabisa je hapo uoni unajenga au una hatarisha kuibomoa CRDB na kumbuka ilianzisha kwa ajiri ya wananchi wenyewe ila kumeingiliwa na nguvu ya wananchi wachache mafisadi.

Kimei utujibu kwa haraka sana kwanini kila scandal za watu au vigogo huko serikalini lazima tu CRDB ihusike kulikoni??
 
mmmmmh hii ndo tz, then JK akiulizwa anasema mafisadi hawafaham, wezi wa pesa za watz hawafaham na kumbe evidence anazo na anawajua!
shame to magamba, kaeni mkijua kuwa hatupo katika kile kipindi vha tv kuwa nyumbani kwa Rais tu. huu ni ulimwengu wa science and technology! msema kweli sema.
 
CCM mnaanza kutapatapa hapo ndio pa kuwamaliza kabisa kwanini upinzani wawe wanafiki wkt anaewafilisi ndio huyo alokuwa mbunge wao akiwaibia urithi wao, tena hastahili hata kukanyaga jimboni kwao kabisa hata ben wote wezi wakubwa

Nawaombeni wanachadema agenda hii isitumike kwenye kampeni za igunga kwani mtaleta uchochezi na kahatarisha usalama na amani ya nchi yetu. Ikumbukwe kwamba Ndugu RA ameteuliwa kufungua kampeni akiambatana na ndugu Ben so ongeeni yoote mnayoyafahamu sio hili. Thanks.
 
Shughuli ni pevu, Rostam Aziz wakati huu anajiandaa na uzinduzi wa kampeni za Rudisha Igunga leo hii yameibuka haya tena. yetu macho mwaka huu.
 
kwa nni serikali ipo kama haisikii hizi taarifa?

mkuu watoa taarifa ndo hao wanakamatwa na polisi, kaazi kweli kweli. wezi wanaachwa, watoa taarifa wanaswekwa ndani, ingekuwa jeshi la polisi ni makini leo hii baada ya msemakweli kutoa taarifa basi tungesikia RA na YM wamekamatwa kutoa maelezo.
 
Hivi hawa jamaaa hwakuzirudisha hizo pesa? Nasikia kuna wengine walirudisha zikapelekwa TIB kwa Peter Noni na hiyo wakapewa msamaha wa kuburuzwa mahakamani!!
<br />
<br />
Hivi ulishawai kuona mwizi anarudisha fedha au mali aliyoiba?ni michezo michafu tu,inayochezwa,mwizi gani anabembelezwa hivyo?mbona wezi wa kuku huwa wanasomewa hukumu fasta!hawa wanabembelezwa,ni wakina nani?na hizo fedha walifanyia nini?MKUU hapa kunma namna!
 
Du! kama ni hivyo inatisha.na kwanini wanamkamata jamaaa?
 
mkuu watoa taarifa ndo hao wanakamatwa na polisi, kaazi kweli kweli. wezi wanaachwa, watoa taarifa wanaswekwa ndani, ingekuwa jeshi la polisi ni makini leo hii baada ya msemakweli kutoa taarifa basi tungesikia RA na YM wamekamatwa kutoa maelezo.

Hakuna aliyekamatwa na polisi. Au hamtaki apewe ulinzi na au aisaidie polisi katika uchunguzi?
 
cam
Independent lawyer and human rights crusader, Kainerugaba Erick Msemakweli, named people believed to be the forces behind Kagoda Agriculture Company Limited, at a news conference in Dar es Salaam yesterday.
Msemakweli read out a list of people, including prominent businessmen Yusuph Manji and Rostam Aziz, who he alleged were owners of the dubious Kagoda Agriculture Limited, for long associated with the siphoning of billions of shillings from the Bank of Tanzania’s External Payment Arrears Account.

He told a news conference in Dar es Salaam that he has sufficient evidence to prove in court that Manji and Rostam were the brains behind Kagoda’s networks that stole around 33bn/- from the EPA account in 2005.

He listed a chain of people behind the scam– Tabu Omari, John Kato, Barati Goda, Rostam Abdurasul Aziz, Yusuph Mehboob Manji, Gulam Abdurasul Chakaar, and Bahram Abdurasul Chakaar.
“These are operators and managers of Kagoda Agriculture Ltd, who masterminded the stealing of billions of shillings from BoT’s EPA account. I possess print and electronic evidence to substantiate my claims before a court of law, if need be,” said Msemakweli.
He explained that he conducted independent investigations into the EPA scam and found out that those he named were ring-leaders in Kagoda’s role in the high-profile corruption scandal.
“I am mentioning them because I have enough evidence plus supportive documents — in both print and electronic form, to argue my case…those who feel aggrieved by my actions should go to court,” he noted.
Msemakweli said he had already submitted some of the evidence to the Director of Public Prosecution (DPP), adding that he expected to have an audience with DPP today for “further consultations on the issue…I will also give him more evidence if he wants.”
The DPP, according to Msemakweli, called on people with evidence on Kagoda’s involvement in the scandal to submit them to the relevant law enforcement agencies for prosecution and other legal actions against the culprits. The same statement was repeated by Attorney General Frederick Werema during the just-concluded parliamentary session, he said.
“Statements by government officials are totally untrue…the names of Kagoda pioneers are here plus all the evidence showing how they were involved in drawing up the theft racket, including signing relevant documents to facilitate processes of stealing the money,” he said.
Unveiling details on the Kagoda syndicate, he said Barati Goda and John Kato registered Kagoda at the Business Registration and Licensing Agency (BRELA) but they used forged names—Francis William and John Kyomuhendo, respectively. He said that using his company, Quality Finance Corporation Ltd, Yusuph Manji acted as guarantor for Kagoda to enable it to open an account at CRDB Bank – Holland House Branch.
“In fact, the Kagoda EPA theft was planned by Manji and Rostam through their companies. The other people I have mentioned were just working under instructions from Rostam Aziz and Manji,” he observed.
“I am ready to fight with Manji and Aziz in court, because I have evidence that they were involved in the Kagoda theft. If the DPP does not take appropriate action after receiving the evidence I have given him, I will opt for other legal action,” said Msemakweli.
He said the country’s legal enforcement machinery needed to take action against Manji, Aziz and all other people involved in the Kagoda theft, saying it was “against the rule of law and good governance practices to take some few people, such as Maranda and Farijala, to court over the EPA scandal, leaving others untouched. The law should treat all culprits equally, regardless of their status, position or any reason.”

Source:http://tanzagiza.com/msemakweli-%C2%A0manji-and-rostam-were-the-brains-behind-epa-scam/
 
Back
Top Bottom