Seifmauld98
New Member
- Jun 21, 2021
- 4
- 2
Sema mtaani unapata yaan ila mm hapa dereva lesen Ninayo chet Cha form 4 pia nnacho ila Cha NIT ndo Bado nataka nipambanieKwa hiyo sisi 2lio ishia darasa7 kazi hatufanyia au
Baba yangu ni dereva mkongwe ambae amefanya kaz kwenye shiriki ya UNHCR kigoma miaka mingi mnoo..Kwa hiyo sisi 2lio ishia darasa7 kazi hatufanyia au
Cover letter ni tofauti na CVMsaada mwenye kujua.
Cover letter ndiyo CV.
Ikipatikana na sample ya cover letter itapendeza zaidi.
Umemaliza Kila kitu.....take a beerCover letter ni tofauti na CV
CV inaeleza wasifu wako cover letter inaelezea kwann wakuajiri
DuhHabari zenu wana-JF?
Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu..
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri.
Shukrani!
Mifano ya Barua ya Maombi, Wasifu (Resume) na Rejea (Reference):
Kwa hisani ya HMS