Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya hizo interview umefaulu ngapi?Cv yangu siku zote inakuwaga na page nzima ya PROJECTS hapo huwa naelezea viproject vyangu na jinsi ya kuviimplement kazini thank God nimeitwa kwingi kwenye interview kutokana na hizo projects nnazoandikaga....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye alipata kazi kupitia kampuni gani?wadua habari ,naombeni msaada ni kampuni zipi ,zinasaidia kupata kazi katika ofisi mbalimbali,yani huwa wanatumiwa na taasisi mbali mbali kuwatafutia wafanyakazi ,mfano kuna dada anafanya kazi MSD ,alipata kazi kupita kampuni fulani inawafanyia usahili mkifaulu mnaajiliwa
Nicheki PM tuone CV yako mkuu, tulinganishe na hizi wengine currently tumetumia kifanya applications kadhaa na zikaonekana.Naomba msaada wenu..anyone to help..
Ndani ya miaka miwili nimejaribu kushare CV yangu kwa recruitment agent ambao wametangaza kazi ambazo to my view zipo within my expertise..
Cha Ajabu nothing is taking me to a next step tofauti na miaka kadhaa iloyopita ambapo nilikuwa nikituma on the click napewa priority kubwa..
Nimejiasses huenda my CV is outdated na kamwe siwezi kujisahihisha and am strongly need very helpful second eyes tp look on my CV and if possible anishauri..
I have over 15 experience with diversity so far for these two years o have applied more than 500 hundred job vacancies but nothing good are coming back on my way..
Please msaada currently i have nothing to pay for this but I promise your help will not be left unremembered.
Asanteni.
Nenda Google mkuuWadau naombeni kujuzwa jinsi ya kuandika CV, pamoja na format yake plz
KweliiiiiAndika historia yako hapa tukutengenezee CV yako!
kwa harakaharaka tu nshajua tatizo ni niniNaomba msaada wenu..anyone to help..
Ndani ya miaka miwili nimejaribu kushare CV yangu kwa recruitment agent ambao wametangaza kazi ambazo to my view zipo within my expertise..
Cha Ajabu nothing is taking me to a next step tofauti na miaka kadhaa iloyopita ambapo nilikuwa nikituma on the click napewa priority kubwa..
Nimejiasses huenda my CV is outdated na kamwe siwezi kujisahihisha and am strongly need very helpful second eyes tp look on my CV and if possible anishauri..
I have over 15 experience with diversity so far for these two years o have applied more than 500 hundred job vacancies but nothing good are coming back on my way..
Please msaada currently i have nothing to pay for this but I promise your help will not be left unremembered.
Asanteni.
Ndio utakubaliwa, nenda NIT mabibo.Hello ..kama umepata div 3 ya 25 na unataka kujiunga na kozi ya shipping au clearing and forwarding utakubaliwa chuo
bro nit wanaremit Yao Kama ataanza diploma sawaNdio utakubaliwa, nenda NIT mabibo,.
www.nit.ac.tz
Kaka mi nimekamilika au hujanielewa mi naitaji kazi tubro nit wanaremit Yao Kama ataanza diploma sawa
Broo saiv mfumo wa serikali wanataka watu wa cheti cha form four kaka .Mi ni dereva wa magari naitaji ajira nina lesen yenye madaraja yote, cheti cha veta na cheti cha NIT
Kwa hiyo sisi 2lio ishia darasa7 kazi hatufanyia auBroo saiv mfumo wa serikali wanataka watu wa cheti cha form four kaka .