Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

hauna experience vp inamaana haukufanya field au dissertation yoyote mpaka unamaliza chuo maana kwa ninavyojua ndipo unapoanzia huo uzoefu
 
hauna experience vp inamaana haukufanya field au dissertation yoyote mpaka unamaliza chuo maana kwa ninavyojua ndipo unapoanzia huo uzoefu

field sio experience mkuu...
ila namshangaa graduate huna hata experience ya kuvolunteer sehem!!???
 
field sio experience mkuu...
ila namshangaa graduate huna hata experience ya kuvolunteer sehem!!???

mkuu tupe elimu hpo km field cyo experience na yy kamaliza shule mwaka huu nakupata hata volunteer cku hzi hujui kma ni ishu ?
 
Unapojtolea kufanya kaz(volunteer) hakksha unapomalza kufanya kaz hyo unaomba japo notification inayoonesha kwamba ulivolunteer mahal hapo il kuiweka km CV
 
unaweza kuandika na ku saini, miandiko isifanane tu, mm nshafanyaga hvyo na kazi nkapata ni pm kwa maelezo zaidi

Hakikisha unapoweka wadhamini(referee) unawataarifu kwa sababu utaweka mawasiliano yao sasa wasije wakapgiwa simu wakadai hawajui lolote, watajua we mbabaishaji haupo makini.
 
field ni pratical training,ie hands on job done ,its a tryal..,,for somehow it generates experience lakini proffesionally it is a part of career development ...zipo field pia za namna mbali mbali so ingeneral field ni practical training ndo mana tunakua na assesments,but kwa job tuna assesments pia but zenyewe hua ni yearly au summative unlike field....,
 
tatizo watu wanataka spoon feeding. Asipewe kabisa CV bure. Wahenge walisema dont give me fish teach me how to fish.
Mtu wa IT umeshaambiwa tumia google bado unataka msaada?
Chuo kikuu huna jeuri ya kuandika CV?Then lets do business kwa sababu hutaki kujighulisha, Nitakuandalia kila kitu kwa laki 2 nitafute
 
'Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri'
khaa! hapa kazi bado ipo sana.....
mwaka mwisho hujui kuandika CV tena Computer yaani umeshindwa hata kugoogle kwa kutumia tarakilishi ambayo huwa unaitumia, sasa kazi utapaje?
 
Be blessed ...umetutoa tongotongo wengi xn
 
Wadau hivi ni CV aina gani ya CV zinahitajika kwa sababu wengine unakuta wamejaza table (CV ipo katika mfumo wa table) na wengine kawaida. ipi ni nzuri.


Kingine ni Length page ngapi zinashauriwa.


N.B Ni bora kama hujui Ukae kimya Kejeli nitakutoa nishai.
 
Just do whatever as you wish braza,kinacho matter ni content na arrangement
Note; 4 fresh graduate Cv not more than 2 pages
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…