Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
Handwriting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau, hivi barua ya maombi (application letter) inatakiwa kuandikwa kwa mkono (hand-writen) au kuchapwa(printed), msaada wenu wadau
pole bro find me @ my office,i'll help u.
Hairuhusiwi, labda umwambie aandike ai-scan akutumie kwenye email yako alafu ww ui-print then unaendelea mbele, au unawasiliana naye kwanza, yeye ndiye akuruhusu uandike kwa niaba yake ikiwezekana akupe na maneno machache ya kuweka kwenye hiyo barua weka sahihi yako, weka na mawasiliano yake pale chini. Waajiri weng wanapiga kwa referee kuuliza km yeye ndio kaandika
swali ni kwamba referee wangu akiniruhusu kuandika wao watajuaje?
waheshimiwa habari zenu?
eti mfano tangazo la kazi wanataka uambatanishe na referee letter,afu huyo referee wako mwenyewe labda yuko dar na wewe uko mwanza,ivi inawezekana hiyo barua ukaindika mwenyewe tu kwa niaba ya referee wako na ukapachika details zake then ukaituma?
kuuliza sio ujinga jamani so naomba nisionekane kilaza.
WAKUU HIVI HII ISHU YA KUWA BARUA YA KUOMBA KAZI YABIDI IANDIKWE KWA MKONO NA SIO KUICHAPA KWA MASHINE NI SAHIHi?
nani kasema?
KUNa JAMAA ALIKUWA ANAMWAMBIA MWENZIE,
KWA KIGEZO KWAMBA EMPLOYERS NEED TO SEE APPLICANTS' HAND WRITINGS.
YULE ALIYEAMBIWA IKAMBIDI AACHE KUICHAPA, AKAIANDIKA KWA MKONO.
mara nyingi naonaga kazi za halmashauri ndio wanataka uandike kwa mkono.