Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

Hii kesi itakuwa nzuri sana mbele ya safari hao parties wakianza kujitetea, hasa mwanasheria mkuu wa serikali na mwenyekiti wa tume.

Zile forgery, na yale majina ya kina Mdee tujue nani walipeleka kwa tume, naona zike aibu za kesi ya mchongo ya Mbowe zinaenda kujirudia, wajinga hawajifunzi.
 
Sasa kwanini kamati kuu ya chama hakutaka kuwasikiliza??

Hiyo ni ground tosha ya kutupilia mbali hayo maamuzi.

The right to a right to be heard ni fundamental.
 
Sasa kwanini kamati kuu ya chama hakutaka kuwasikiliza??

Hiyo ni ground tosha ya kutupilia mbali hayo maamuzi.

The right to a right to be heard ni fundamental.
Kamati Kuu iliwaita wakaingia mitini, na hata kwenye baraza kuu walipewa nafasi ya kujitetea lakini bado wakanyamaza kimya.

Zaidi, kuna kifungu kwenye Katiba ya Chadema kinachoruhusu uamuzi utolewe kwa dharura.
 
Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.

Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.

Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Nao watafurahi, maana hao wameshajitoa ufahamu. Let it be documented, ikitokea mabadiriko ya serikali kuwe na kumbukumbu ya kuwaadabisha kwa matumizi mabaya ya ofisi INCLUDING NA MAJAJI WANAOTOA HUKUMU ZA WAZI KUWA HII NI DELIBERATE UKIUKWAJI WA HAKI
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…