Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

Barua ile ni ipi, walipelekewa wito na wakapokea kwa dispatch hawakutokea ulitaka chama kikawabembeleze majumbani mwao, case crossed.
Maamuzi ya mahakama yatawavua nguo Chadema.

Hamtaepuka aibu ya kuonesha uzembe wa hali ya juu.
 
Baraza lilipaswa kutengua maamuzi ya kamati kuu kwa kuielekeza kamati kuu kuwasikiliza hao kina mama ila kwakua siasa imetawala basi nao wakathibitisha tu maamuzi ya kamati kuu.

Mahakama ikitoa wito wa kufika kwa shauri na usifike je maamuzi ya mahakama ni batili. Eti sababu ni kusibiria joto la kisiasa lipungue mpaka lini au kwa siku ngapi. Utetezi wa kijinga.
 
Wewe ndio mpumbavu kwa kujifanya unajua mambo ambayo huyajui.

I cant waste my time debating with you.
 
Haki ya kusikilizwa ni muhimu sana mkuu.

Na mara zote mahakama inabatilisha maamuzi yoyote yale ambayo mhusika hakusikilizwa.

Chadema baada ya kupokea barua ile walipaswa kukubaliana nao na kuwapa fursa nyingine ila hawakufanya hivyo.

Chadema wanapaswa kuja na ushahidi sasa kwamba baada ya kupokea barua ile walifanya jitihada zote kuwapata wahusika lakini wahusika hawakufika katika kamati kujitetea.

Kwa udhaifu huo Chadema wanakwenda kushindwa kesi hii.

Na watailamu mahakama. Wamefanya uzembe mkubwa sana. Ila they won't admit in public.

Haki ya kusikilizwa haisimami Kama ulipewa hiyo nafasi ukaichezea au kutoitikia with.
 
Soma hicho kiapo.

Wametoa sababu kwanini walishindwa kuhudhuria na walifanya hivyo kwa maandishi.

Hakukua na sababu ya kujitetea kwenye baraza kuu kama hukusikilizwa na kamati kuu.

Kwakua baraza kuu ni kikao cha rufani ya maamuzi ya kamati kuu.

Walikua sahihi kutozungumza wangefanya hivyo ingekua wanahalalisha kitendo cha kamati kuu kutowasikiliza.

Hapo Chadema wanapigwa kwa maamuzi yao mabaya na watasingizia mahakama haipo huru kumbe ni uzembe wao.
Hata sioni mantiki kwenye hili jibu lako.

Ok, walidai waliona hatari siku ile ya kwenda kusikilizwa wakijitetea kama wangeenda, sasa wakachukua hatua gani za kujilinda? au walitaka Chadema ndio kiwatafutie ulinzi?
 
Ukiachana na siasa chafu , za kishamba na za kipumbavu zinazosimamiwa na viongozi wa ccm, Tanzania ni moja ya nchi Tajiri sana. Kama focus ingewekwa kwenye utumiaji wa rasilimali tulizonazo kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Maamuzi ya mahakama yatawavua nguo Chadema.

Hamtaepuka aibu ya kuonesha uzembe wa hali ya juu.
Tumeshawazoea hata kesi ya ugaidi wa Mbowe mlikuwa mnajazana upepo huu huu eti hatoki.
 
Hata sioni mantiki kwenye hili jibu lako.

Ok, walidai waliona hatari siku ile ya kwenda kusikilizwa wakijitetea kama wangeenda, sasa wakachukua hatua gani za kujilinda? au walitaka Chadema ndio kiwatafutie ulinzi?
Hoja yako pia haina mantiki yeyote ni upotevu tu wa muda kuandelea na mjadala.
 
Soma hicho kiapo.

Wametoa sababu kwanini walishindwa kuhudhuria na walifanya hivyo kwa maandishi.

Hakukua na sababu ya kujitetea kwenye baraza kuu kama hukusikilizwa na kamati kuu.

Kwakua baraza kuu ni kikao cha rufani ya maamuzi ya kamati kuu.

Walikua sahihi kutozungumza wangefanya hivyo ingekua wanahalalisha kitendo cha kamati kuu kutowasikiliza.

Hapo Chadema wanapigwa kwa maamuzi yao mabaya na watasingizia mahakama haipo huru kumbe ni uzembe wao.
Kama walikataa kuzungumza kwenye baraza kuu tena baada ya kuitwa mara 3 sasa walikata rufaa ya nini, watapigwa asubuhi saa 2 tu.
 
Tumeshawazoea hata kesi ya ugaidi wa Mbowe mlikuwa mnajazana upepo huu huu eti hatoki.
Mmaojazana upepo ni nyie.

Kama sio huruma Mbowe alikua anakula mvua ya kutosha.

Hilo analifahamu.
 
Kwa ushahidi gani wa Kingai aliyekuwa anaomba kuharisha kila dakika. Mwambie Halima aandae pampas za kutosha maana maswali ya Kibatala sio ya nchi hii.
 
Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.

Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.

Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Uwe unatumia akili kufikiria

Ni nani alienda mahakamani kati ya chadema na waliofukuzwa.!?
 
Kwa ushahidi gani wa Kingai aliyekuwa anaomba kuharisha kila dakika. Mwambie Halima aandae pampas za kutosha maana maswali ya Kibatala sio ya nchi hii.
Na sasa kageuka mtumwa aisee akikumbuka tu mahabusu haraka anakimbia akiitwa hakuna mchezo kabisa.

Sasa huyo uliyemtaja ndio atawageuza asusa asubuhi na mapema.

Tatizo mnaleta uhuni kwenye mambo ya msingi lazima mnyooshwe.

Unapokua kiongozi wa taasisi haupaswi kuwa mhuni mhuni.
 
Uchambuzi wako unonyesha jiwe ndiye alikuwa mwalimu wako wa CIVICS

Back
Top Bottom