Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Soma hicho kiapo.Kamati Kuu iliwaita wakaingia mitini, na hata kwenye baraza kuu walipewa nafasi ya kujitetea lakini bado wakanyamaza kimya.
Zaidi, kuna kifungu kwenye Katiba ya Chadema kinachoruhusu uamuzi utolewe kwa dharura.
Wametoa sababu kwanini walishindwa kuhudhuria na walifanya hivyo kwa maandishi.
Hakukua na sababu ya kujitetea kwenye baraza kuu kama hukusikilizwa na kamati kuu.
Kwakua baraza kuu ni kikao cha rufani ya maamuzi ya kamati kuu.
Walikua sahihi kutozungumza wangefanya hivyo ingekua wanahalalisha kitendo cha kamati kuu kutowasikiliza.
Hapo Chadema wanapigwa kwa maamuzi yao mabaya na watasingizia mahakama haipo huru kumbe ni uzembe wao.