Sawa ni za msingi lkn hazina ushahidi wa kutosha, mahakamani haitoshi kusema tu kwa mdomo kuwa umeonewa lazima uonyeshe umeonewaje.Lakini hizo sababu ni za msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ni za msingi lkn hazina ushahidi wa kutosha, mahakamani haitoshi kusema tu kwa mdomo kuwa umeonewa lazima uonyeshe umeonewaje.Lakini hizo sababu ni za msingi.
.Hii kesi itakuwa nzuri sana mbele ya safari hao parties wakianza kujitetea, mwanasheria mkuu wa serikali na mwenyekiti wa tume.
Zile forgery, na yale majina ya kina Mdee tujue nani walipeleka kwa tume, naona zike aibu za kesi ya mchongo ya Mbowe zinaenda kujirudia, wajinga hawajifunzi.
Naomba kuuliza mawakili wa serikali inakuaje wanawasaidia upande wa kina mdee kwani hii kesi ni ya serikali na chadema au mdee wenzake na chadema
Utakuwa unaongelea msichana bila shaka..By all aspects 40yrs+ is no longer a binti, I stand to be corrected.
Hapo wasema kweli. Tulia aliokotwa Jalalani kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Sijui alimuibuaje au alikuwa chakula chake maana kila mwenye akili anajiuliza huyu Magufuli alimtoa wapi na kwa sababu gani! Kwa vigezo vipi Kama siyo vyupi
Equitable mm niliishaona hiyo scenario ndo maana nilitoa angalizo kuwa hawa wadada wataenda mahakamani na mpaka bunge liishe ndipo haki itatolewa.so CDM should be call pending to judgement.Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.
Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.
Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Soma hicho kiapo.
Wametoa sababu kwanini walishindwa kuhudhuria na walifanya hivyo kwa maandishi.
Hakukua na sababu ya kujitetea kwenye baraza kuu kama hukusikilizwa na kamati kuu.
Kwakua baraza kuu ni kikao cha rufani ya maamuzi ya kamati kuu.
Walikua sahihi kutozungumza wangefanya hivyo ingekua wanahalalisha kitendo cha kamati kuu kutowasikiliza.
Hapo Chadema wanapigwa kwa maamuzi yao mabaya na watasingizia mahakama haipo huru kumbe ni uzembe wao.
Sasa kwanini kamati kuu ya chama hakutaka kuwasikiliza??
Hiyo ni ground tosha ya kutupilia mbali hayo maamuzi.
The right to a right to be heard ni fundamental.
Kama kuna jambo ambalo ulipangiwa katika ulimwengu huu hata ukiwa machakani lazima litimie.Hapo wasema kweli. Tulia aliokotwa Jalalani kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Sijui alimuibuaje au alikuwa chakula chake maana kila mwenye akili anajiuliza huyu Magufuli alimtoa wapi na kwa sababu gani! Kwa vigezo vipi Kama siyo vyupi
Baraza lilipaswa kutengua maamuzi ya kamati kuu kwa kuielekeza kamati kuu kuwasikiliza hao kina mama ila kwakua siasa imetawala basi nao wakathibitisha tu maamuzi ya kamati kuu.Kama hawakuwa na sababubya kujitetea kwenye baraza Kuu kwanini walikata rufaa baraza hilo?
Haki ya kusikilizwa ni muhimu sana mkuu.Sawa ni za msingi lkn hazina ushahidi wa kutosha, mahakamani haitoshi kusema tu kwa mdomo kuwa umeonewa lazima uonyeshe umeonewaje.
aliyemsogeza serilikalini ni KikweteHapo wasema kweli. Tulia aliokotwa Jalalani kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Sijui alimuibuaje au alikuwa chakula chake maana kila mwenye akili anajiuliza huyu Magufuli alimtoa wapi na kwa sababu gani! Kwa vigezo vipi Kama siyo vyupi
Sasa kwanini kamati kuu ya chama hakutaka kuwasikiliza??
Hiyo ni ground tosha ya kutupilia mbali hayo maamuzi.
The right to a right to be heard ni fundamental.
Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
View attachment 2227602
View attachment 2227603
View attachment 2227604
View attachment 2227605
View attachment 2227606
View attachment 2227607
View attachment 2227608
View attachment 2227609
View attachment 2227610
View attachment 2227612
View attachment 2227613
View attachment 2227615
View attachment 2227616
View attachment 2227617
View attachment 2227618
View attachment 2227619
View attachment 2227620
View attachment 2227621
View attachment 2227622
View attachment 2227623
Ndio sababu siku zote wanaangukia pua
Wadada wanawatoa jasho.
Haki ya kusikilizwa ni muhimu sana mkuu.
Na mara zote mahakama inabatilisha maamuzi yoyote yale ambayo mhusika hakusikilizwa.
Chadema baada ya kupokea barua ile walipaswa kukubaliana nao na kuwapa fursa nyingine ila hawakufanya hivyo.
Chadema wanapaswa kuja na ushahidi sasa kwamba baada ya kupokea barua ile walifanya jitihada zote kuwapata wahusika lakini wahusika hawakufika katika kamati kujitetea.
Kwa udhaifu huo Chadema wanakwenda kushindwa kesi hii.
Na watailamu mahakama. Wamefanya uzembe mkubwa sana. Ila they won't admit in public.