Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Nilikua nakuheshimu sana mkuu..lakini ulichoandika hapa hakiendani na weweSioni kama haya yanatuhusu kwa kweli. Kuna mambo ya kufuatilia kama Taifa lakini mambo ya starehe za watu tuachane nayo.
As long as tulipata mapato halali ya utalii hayo mengine siyo shida zetu. Tuna mengi ya kufanya
TISS KAZI YAO KUSHINDA KWENYE MAGROUP YA WHATSAPP WAKIOKOTEZA VIJITAARIFA?Ni kweli hawataki kisogelewe, kina ulinzi mkali sana, mimi shahidi tulifika na boti tulitaka kutia nanga tupige walau picha alooo tulifurushwa kama vipaka shume, kumbe watoto wetu wametekwa na kufichwa huko ili kuwapa hao washenzi starehe, hii taarifa imeniharibia asubuhi yangu😭😭😭
huna tofauti na profile picture yakoSioni kama haya yanatuhusu kwa kweli. Kuna mambo ya kufuatilia kama Taifa lakini mambo ya starehe za watu tuachane nayo.
As long as tulipata mapato halali ya utalii hayo mengine siyo shida zetu. Tuna mengi ya kufanya
Watu wana hela za ghafla tu paap..kumbe kuna biashara tamu kama hizo.Hua nawaambia watu, human trafficking haiwezi kuisha duniani sababu wenye hizo biashara ni hao hao matajiri na viongozi wakubwa, guys hebu chukueni muda mkaangalie movies za Human Traffic mnaweza kupata walau mwanga kidogo kwa yanayoendelea humu duniani na wahanga wakubwa ni watoto kuanzia miaka 6 mpaka 20, wa kike kwa wakiume, inaumiza sana
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Subiri hapo hapo, hadi hapo kibinti chako kitakapopewa ajira huko, (naiita ajira kwa maksudi); na mbaya zaidi, hata hilo li 'zero brain'lako lililoangukia pua kwenye sekondari ya Kata nalo litageuzwa kuwa kitoweo cha kuburudisha hao wageni wenu.
Hiyo pesa unajuwa iliingia mfukoni mwa serikali?
Akili za kipuuzi kama hizi zako ndizo zinazotuvuruga kama taifa sasa hivi.
Hicho kisiwa ni mali binafsi ya Bill GatesNatumai umemsoma mkuu Bagamoyo
Hiko kisiwa kuna ulinzi mkali kiasi kina sisi hatuhusiwi kutia pua
Inaonekana hii ilianza zamani sana mpaka wakakipa jina kisiwa bandia ni kama hakipo kwa sisi choka mbovu
Hawana tofauti na kina Juma LokoleTISS KAZI YAO KUSHINDA KWENYE MAGROUP YA WHATSAPP WAKIOKOTEZA VIJITAARIFA?
ipo siku atakuja rais muungwanaUsalama wa Taifa upo kwaajili ya kuwalinda Ccm wabutue mabilioni kwa amani bila wasiwasi,
Kuhusu habari za usalama wa Raia wake na kujali utu wa binadamu hicho sio kipaumbele.
wafalme wa zamani walipovamiwa na wakoloni kipindi cha utumwa walipambana ili raia wao wasidhurike,
ila serikali yetu hii Amini nawaambieni hata ikitokea ukoloni umeludi sasaivi nahakika kabisa Pesa za kununua minyororo ya kutufunga shingoni zitatolewa na Marais wetu na polisi wetu ndo watakaotuswaga kutupeleka utumwani.
Msamehe huyo ni mgumba hana watoto.Nilikua nakuheshimu sana mkuu..lakini ulichoandika hapa hakiendani na wewe
To be honest, am stil in denial. Naishi kwa MATUMAINI.Dah!
Nimesoma mada yako tofauti kidogo. Sikuanzia juu na kuteremka chini; bali nimesoma vipandevipande na kuweka maoni yangu juu ya vipande hivyo.
Sasa hiki kipande hapa, kimenifanya nisikitike sana, kuwa kumbe nawe ni kati ya waTanzania ambao hammjui Samia ni mtu wa namna gani?
Huu "wito" uliouweka hapa, unaonyesha wazi kuwa hujui au huamini Tanzania inakokwenda wakati huu.
Bila shaka huoni au huamini yanayotokea ndani ya nchi hii sasa hivi.
Mada yako umiwasilisha vizuri, na kwa mpangilio unaopendeza; lakini naona kuna kitu kinachokushikilia kudhani kwamba Tanzania iliyokuwepo huko nyuma, bado inawezekana chini ya hali iuliyopo sasa!
Utanisamehe; lakini inabidi nihitimishe kuwa wewe utakuwa ni mtu wa CCM. Sijui kwa nini chama hiki kimewalaza akili kiasi hiki.
You're in denial!
TISS wao wanachoona ni bora kwao ni kui-block JF isionekane kwa watanzania wakajua kinachoendelea.TISS na Polisi wako bize kuwateka,kuwatesa,kuwaua Chadema na wakosoaji wa serikali na kuacha nchi ikinajisiwa kiasi hiki.
Ni kweli, mpaka sasa Mnemba si rahisi kuwa accessed na raia wa kawaida. Ni privileged ones wanaweza kufika, na wanachota fedha za kutoshaNatumai umemsoma mkuu Bagamoyo
Hiko kisiwa kuna ulinzi mkali kiasi kina sisi hatuhusiwi kutia pua
Inaonekana hii ilianza zamani sana mpaka wakakipa jina kisiwa bandia ni kama hakipo kwa sisi choka mbovu
Ni kisiwa cha mikakatiMnemba kisiwa tajwa maalum kwa matajiri wa dunia kupumzika. Kipo umbali wa kilometa 3 toka kisiwa mama cha Zanzibar nchini Tanzania
Arguably, along side destinations such as the North Island in the Seychelles, Mnemba Lodge holds the accolade of being one of the most expensive beach destinations in the world
Mnemba ni mali ya bill gateNi kweli hawataki kisogelewe, kina ulinzi mkali sana, mimi shahidi tulifika na boti tulitaka kutia nanga tupige walau picha alooo tulifurushwa kama vipaka shume, kumbe watoto wetu wametekwa na kufichwa huko ili kuwapa hao washenzi starehe, hii taarifa imeniharibia asubuhi yangu😭😭😭
Inajulikana ni mali yake na matajiri wenzie ndio huja pale, mwanzoni tuliambiwa kuna starehe za kila aina na huko watu hawavai nguo ni kutembea uchi uchi tu, kumbe kuna zaidi ya hao, watoto wetu wadogo wasio na hatia wanafanyishwa kazi za ngono😭😭😭
Epstein hakutaka watu weusiNi kweli hawataki kisogelewe, kina ulinzi mkali sana, mimi shahidi tulifika na boti tulitaka kutia nanga tupige walau picha alooo tulifurushwa kama vipaka shume, kumbe watoto wetu wametekwa na kufichwa huko ili kuwapa hao washenzi starehe, hii taarifa imeniharibia asubuhi yangu😭😭😭