YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,259
- 140
Epstein alikuwa anaisadia DP World kupata port deals in Nigeria……Skendo nyingine kubwa hapa ambayo inaweza kuwa na uhusiano na Tanzania, ni mahusiano ya Epstein na CEO wa DP world.
Kwa kiasi kikubwa, mazungumzo ya Epstein na Sultan (DP world CEO) yanaonyesha jinsi gani DP world inavyofanya kazi, kupata deals za kuendesha ports na hata kuingilia mambo ya ndani ya nchi mbalimbali (DP world CEO alikuwa ana lobby “Somaliland” kutambuliwa kama nchi huru).
Kuna siri gani kubwa zaidi nyuma ya DP world kupewa uendeshaji wa bandari ya Dar?
![]()
Epstein helped lobby Mandelson on £1.8bn Thames port, new files show
Documents released by the US Department of Justice have revealed the disgraced financier’s apparent role in DP World’s London Gateway port biduk.news.yahoo.com
Epstein files zinaonyesha bayana kuwa DP world ni kampuni ya kihuni na inanuka rushwa.
Kuna siri gani baina ya serikali haramu ya aaamu ya 6 na DP world mpaka kupewa deal la bandari ya Dar es salaam?
View: https://x.com/MazMHussain/status/2023453808752214096