siyo kama namtetea huyo evil criminal epstein, lkn kwa watanzagiza na waafrika kutoka povu kwamba amefanya upaedophile ni unafiki wa hali ya juu na hamuelewi labda kinachoendelea kwenye jamii yenu iliyowazunguka, hao wanaoitwa watoto wengi wao ni teenegers the youngest were 13 na 16 lkn wengi wao mpaka wengine 18.
ni watanzagiza wangapi wanatembea na watoto wa shule hamuwaiti paedophiles, tanzagiza kuna wazee wengi wameoa kabisa watoto wa below 18, ukienda huko kusini utashangaa utakayaona mtoto wa kike asipoenda shuleni anaolewa hata na miaka 12, ukitumia defination ya paedophile ya wazungu utashangaa karibia 1/4 ya wanaume wa tanzagiza wana check box za u-paedophile sema ofcourse kwa kuwa inatrend na kila mtu anaongelea paedophile then all of sudden its evil wakati ni maisha ya kawaida tanzagiza.
jamii kubwa tu ya tanzagiza mtoto wa kike akivunja ungo na kutoka ndani kama mwali ruksa kuolewa regardless of the age difference kati yake na mwanaume, ni paedophile pia kwa defination ya wazungu lkn hakuna anayeongelea ila wote wanamuona epstein wakati tanzagiza ni karibia kawaida, kwanza tanzagiza umri ni namba tu na wala hautumiki kwenye kuamua kama mtoto wa kike anafaa kuolewa au laa sehemu kubwa wanaangalia biologia basi, akivunja ungo mkubwa huyo, hivyo tuache unafiki, hizi definations za wazungu za ku protect children kwetu haziwi practiced kabisa na kwa kutumia defination ya paedophilia inayotumuwa na wazungu waafrika wengi paedophiles au mnafikiri wamasai wanafwata age ya 18 ili kuolewa au to have sex? ...