Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

Vita ya kijasusi ya USA and co dhidi ya mataifa ya kiarabu and co hapa Tanzania inaendelea naona ,wameanza kuchafua taswira ya Hali ya hewa ya utalii ili tukose watalii kabisa hata visiwani !!

Huo ni mwendelezo wa mbinyo unaotokana na zile dosari za kabla,wakati na baada ya ku tick na hatimaye kutangazwa Kwa Comrade Suluhu Hasan samiah!

Ikichagizwa na hati ya mashtaka Toka mahakama kuu ya mchongo inayoshughulikia waliomwiba Kwa maslahi ya America and Co!!

TISS yetu imejiandaaje ku spin haha mapicha picha!!?au na wao Wana support movement behind the scene!!?

Behind the scene!!?

Kwaninj!!?coz hakuna mwanausalama mwenye Nia njema anaeweza kumshauri mtia nia kufanya masacre huku akijua Dunia Kwa Sasa ni kijiji na huwezi jificha Kwa zile satelite kuangaza Hadi chini ya ardhi!!

Comrade Suluhu uliingizwa kingi kabisa!!

Ndio maana umeamua kujilipua Kwa kuuza hazina coz safe is no more at all!namna pekeee ni kufanya self destruction yenye faida Kwa ukoo!!I understand that!!

KAZI na utu,hebu tuendelee kusonga mbele huku ,tukiomba muujiza wa madhara makubwa yasitokee!!!
 
MNEMBA ISLAND.JPG
 
Wakati huu siyo lazima uvalishwe minyororo mkuu 'Malaika'; tayari tunatengenzwa kuwa taifa la watwana, wewe huoni?

Hawa machawa wote ni kitu gani; akina Kabuti Kalamaganda, wewe unafikiri hao ni watu kamili wanaotambua ubinaadam wao.

Wamasai kuhamishwa Ngorongoro na kupelekwa Handeni wakihadaiwa kujengewa vibanda; nchi hii tulitafuta uhuru kutendewa hayo?

Unataka nikutajie mifano mingapi ya jinsi tunavyoingizwa kwennye utwana ndipo uelewe kuwa tayari tumo kwenye mkondo huo?
Wabongo kwa siasa Tu hamjambo, Uzi wa wa watu mshauharibu mnajaza siasa, eti na wewe ni platinum member unashindwa kweli hata kujua Timeline ya Epstein?

Kama hufahamu
1. Epstein amefariki toka 2019
2. Ameanza kushatakiwa toka 2005

So unaongelea mambo ambayo yametokea miaka 20 iliopita, yanahusiana nini na Royal Tour ama viongozi wa sasa?
 
Aiseee kumbe kuna visiwa huko vina mambo ya ajabu
Tanzania ina private island nyingi Sana kama hio Mnemba, Thanda ya Mafia, Lazy Lagoon karibu na Bagamoyo, Chapwani etc

Hizo private island zinajiendesha zenyewe, mfano hapa Thanda wanaiongelea as if ni South Africa

Hiko ni kisiwa kipo Tanzania hapo Mafia ILa kinamilikiwa na kampuni ya south Africa.
 
DAWA N KYJENGA KISIWA HAPO NYUMBAN KWETU HIVI WALIVYOWAHI TUTAPASUKA KICHWA TU
 
Mmmh hapo sijaelewa Mkuu,wanamla au ni pambo tu ktk meza
Mkuu kuelewa unatakiwa ujue lengo lao hao jamaa ni nini. Huyo hana tofauti na P diddy na ma agent wengine wa hao wakubwa wa Dunia.

Ili uwe tajiri ama kiongozi mkubwa kuna possibility kubwa upitishwe hapo Kwanza, unambandua mtoto, unakula MTU ama kitu chochote kile ili waweze kuku controll,

So unapokua madarakani ama mwanamuziki mkubwa ama sehemu yoyote Ile ya kutoa maamuzi inakua rahisi kwao kukuforce ufanye maamuzi wanayotaka wao.

So hio ni blackmail, viongozi wengi wakubwa wa West lazima wapitie humo.
 
Tanzania ina private island nyingi Sana kama hio Mnemba, Thanda ya Mafia, Lazy Lagoon karibu na Bagamoyo, Chapwani etc

Hizo private island zinajiendesha zenyewe, mfano hapa Thanda wanaiongelea as if ni South Africa

Hiko ni kisiwa kipo Tanzania hapo Mafia ILa kinamilikiwa na kampuni ya south Africa.
Hii Thanda ndio mara ya kwanza kuisikia, hii nchi kumbe ina uzuri wake aisee!
 
Mkuu kuelewa unatakiwa ujue lengo lao hao jamaa ni nini. Huyo hana tofauti na P diddy na ma agent wengine wa hao wakubwa wa Dunia.

Ili uwe tajiri ama kiongozi mkubwa kuna possibility kubwa upitishwe hapo Kwanza, unambandua mtoto, unakula MTU ama kitu chochote kile ili waweze kuku controll,

So unapokua madarakani ama mwanamuziki mkubwa ama sehemu yoyote Ile ya kutoa maamuzi inakua rahisi kwao kukuforce ufanye maamuzi wanayotaka wao.

So hio ni blackmail, viongozi wengi wakubwa wa West lazima wapitie humo.
Kudadeki , kweli Dunia
 
Yani kila kitu kimetukalia vibaya kama nchi!! Kila siku zinaibuka taarifa mbaya za hovyo hovyo tu,ni dhahiri kwamba huu utawala wa ccm hauna baraka popote pale la kwa shetani
Tanzania, tumo kwenye hali mbaya sana katika eneo hili kwa wakati huu; hata Burundi ni nafuu kuliko tulivyo sisi.. DRC wanajulikana kwa hali yao ya siku zote, wakati sisi ndiyo kwanza tukiporomoka kwa haraka sana kuwazidi.
 
Wabongo kwa siasa Tu hamjambo, Uzi wa wa watu mshauharibu mnajaza siasa, eti na wewe ni platinum member unashindwa kweli hata kujua Timeline ya Epstein?

Kama hufahamu
1. Epstein amefariki toka 2019
2. Ameanza kushatakiwa toka 2005

So unaongelea mambo ambayo yametokea miaka 20 iliopita, yanahusiana nini na Royal Tour ama viongozi wa sasa?
Unaonyesha ukilaza wa ajabu sana wewe. kama hujui kwamba Samia Suluhu Hassan ni zao la uchafu huo huo ulioanzia huko unakokujuwa wewe.
Sasa unataka nikupe wewe u-platinum' kwa akili mbovu isiyojuwa kudadisi chochote?

Hata huyo 'Mwajuma' mbele za watu anaona aibu kuwa wewe ni baba yake kwa akili mbovu kama hizi.
 
Kwa mantiki hio hata Mimi na wewe ni zao la huo uchafu, hoja ya kipuuzi kabisa umejibu.

MTU mzima akivuliwa nguo huchutama, anyways endelea kueneza chuki zako. Sisi wengine wacha tukae pembeni.
 
Sioni kama haya yanatuhusu kwa kweli. Kuna mambo ya kufuatilia kama Taifa lakini mambo ya starehe za watu tuachane nayo.

As long as tulipata mapato halali ya utalii hayo mengine siyo shida zetu. Tuna mengi ya kufanya
Jidanganye
Mbona serikali za dunia zikiamua utaanza kutoa mlio
Kiufupi ni kuwa hii taarifa kama n kweli ni doa kubwa kwa taifa letu
 
Back
Top Bottom