Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Nyaraka hizo za siri za pentagon zilizovuja zimeonyesha hali ya vita Ukraine hasa kwa upande wa maendeleo ya silaha za marekani zilizokuwa uwanja wa vita.
Nyaraka hizo zimeeleza kuwa Russia ime-jammed mabom yanayo ongozwa na GPS (Smart bombs) pamoja na guided rockets zinazotumia mfumo wa GPS , kitu ambacho kinapelekea makombora na mabomu hayo kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha wake na kupoteza target yake.
Desemba 2022 marekani ilianza kutuma silaha za hali ya juu (advanced weapons) Ukraine zitazoweza kubadilisha hali ya vita zikiwemo smarts bombs na guided rockets zenye uwezo wa kulenga shabaha kwa majeshi ya Russia kwa usahihi mkubwa.
Lakini silaha hizo zimepata matokeo tofauti na ilivyotarajiwa na zimekosa shabaha zake kwenye uwanja wa vita, kulingana na nyaraka ziliyovuja ambayo imethibitishwa na afisa wa Marekani, ambaye hakutaka kutajwa jina lake.
Urusi inatumia GPS jamming kuingilia( interfere) mfumo wa makombora ,hivyo mabomu na rockets zinatumia mfumo wa GPS zikukutana na hiki kifaa zinakosa muelekeo na kupotezewa target yake na kufanya siraha hizo kuishindwa kufanya kazi kwa ufasaha wake.
www.politico.com

Russia jamming U.S. smart bombs in Ukraine, leaked docs say
A separate technical problem, since fixed, had been causing the munitions to fail.