Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Na hapo Ukraine haipo NATO...πππ...omba sana m-Russi wako asiteme ata mate kwenye ardhi ya NATO...Ni Mwezi Sasa Nato plus USA wanapambania Bhamut na Russia.
Fuatilia Leo 15/04 Washirika wameanza kurudi nyuma. Ndio maana Kamanda wa Wagna ameomba utawala wa Russia watangazie Dunia kuwa Special Military operation imekwisha.
maana mtarudia misemo yenu ila "Mmarekani muonevu" πππ