Nyaraka za siri za US zimevuja : Russia jammed US Smart bombs

Nyaraka za siri za US zimevuja : Russia jammed US Smart bombs

Hari=hali
Siraha=silaha
Uandishi kama huu huwa unanivunja moyo kusoma, huenda hata habari fake
 
Nyaraka hizo za siri za pentagon zilizovuja zimeonyesha hali ya vita Ukraine hasa kwa upande wa maendeleo ya siraha za marekani zilizokuwa uwanja wa vita.

Nyaraka hizo zimeeleza kuwa Russia ime-jammed mabom yanayo ongozwa na GPS (Smart bombs) pamoja na guided rockets zinazotumia mfumo wa GPS , kitu ambacho kinapelekea makombora na mabomu hayo kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha wake na kupoteza target yake.

Desemba 2022 marekani ilianza kutuma siraha za hali ya juu (advanced weapons) Ukraine zitazoweza kubadilisha hari ya vita zikiwemo smarts bombs na guided rockets zenye uwezo wa kulenga shabaha kwa majeshi ya Russia kwa usahihi mkubwa.
Lakini silaha hizo zimepata matokeo tofauti na ilivyotarajiwa na zimekosa shabaha zake kwenye uwanja wa vita, kulingana na nyaraka ziliyovuja ambayo imethibitishwa na afisa wa Marekani, ambaye hakutaka kutajwa jina lake.

Urusi inatumia GPS jamming kuingilia( interfere) mfumo wa makombora ,hivyo mabomu na rockets zinatumia mfumo wa GPS zikukutana na hiki kifaa zinakosa muelekeo na kupotezewa target yake na kufanya siraha hizo kuishindwa kufanya kazi kwa ufasaha wake.

View attachment 2588606

Silaha, siyo "siraha". Fanya editing bandiko lako.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Silaha, siyo "siraha". Fanya editing bandiko lako.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Nipo tayari kukuandikia thread nyingine kwa lugha nyepesi kama hii haujaielewa.
 
Hebu ukajambe ulale huko, natoroka ujinga gani?
IMG_20230405_135651.jpg
 
Na ni mwezi sasa Russia anaipigania Bakhmut [emoji28][emoji28][emoji28]

Akili ya mmarekani anaijua mwenyewe
Toka december huko anapambana Bakhmut. Wanaweza wakaichukua ila atakuwa amepoteza askar wake wengi sana.
 
Hata yeye hutegemea asaidiwe na England, France, Poland, Australia, Canada nk.
Iraq kwenyewe walikuwa nchi hizo.
Hakwenda peke yake.
Siyo Asaidiwe ila wasaini kumuachiawa uwanja atoe dose 😄😄😄
 
Wamarekani wa ukerewe na visiwa vya jirani naona wamegoma kukubaliana na huu ukweli. Tulishakubaliana Urusi sio Bukinafaso
Na Mmarekani siyo Mrusi, halafu hivi m-Afrika unam-support vipi mrusi na wakati jeshi lake tu haliwadhamini Waafrika?? 🤔🤔
 
Tuseme tu NATO kwa sababu tukianza kuwa mention itakuwa ni aibu
Russia amewabanda NATO kwenye kona moja inaitwa ukraini anawapatia mfueni vipi!
pa kupumulia hawana wako tu wanatapatapa
Kile unaongea ni impossible tense chief

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Imewafanya nini?...Kama kweli huyo M-russia wako ni kidume aguse ka-nchi kamoja tu kutoka NATO aone mvua ya magoli 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom