Nyaraka za siri za US zimevuja : Russia jammed US Smart bombs

Haya Mataifa makubwa yanajuana vizuri ktk Siri za technology za siraha.
 
Yes tena kwa 70%
 
Sawa ila Allah za roho wenu hawezi kumkomboa mwanajihad mwenzenu Russia dhidi ya fimbo za m-U.S.A .....U.S.A ni nyani mzee haogopi umande..

Yaani anaweza kuwaunganisha middle East,China,M-N.korea,India na Russia na akawatandika za makalio
Wewe kama una Basha huko US endelea kutoa huduma ila kutaja taja wanaume wengine kama RUSSIA tena Kwa kejeli ukomw
 
Na ni mwezi sasa Russia anaipigania Bakhmut [emoji28][emoji28][emoji28]

Akili ya mmarekani anaijua mwenyewe
Ni Mwezi Sasa Nato plus USA wanapambania Bhamut na Russia.
Fuatilia Leo 15/04 Washirika wameanza kurudi nyuma. Ndio maana Kamanda wa Wagna ameomba utawala wa Russia watangazie Dunia kuwa Special Military operation imekwisha.
 
Wewe kama una Basha huko US endelea kutoa huduma ila kutaja taja wanaume wengine kama RUSSIA tena Kwa kejeli ukomw
Pole eti..Kumbe Russia ni mumeo.? ...usije ukalia lia maana umemuita mwenyewe...
 
Sawa ila Allah za roho wenu hawezi kumkomboa mwanajihad mwenzenu Russia dhidi ya fimbo za m-U.S.A .....U.S.A ni nyani mzee haogopi umande..

Yaani anaweza kuwaunganisha middle East,China,M-N.korea,India na Russia na akawatandika za makalio
Taliban
 
What's the source of this misinformation and why hasn't the belligerent Russians prevailed in the war that has failed to come to an end..!!
In chaos we create..... Kwa sasa vita nzuri kwa maslahi ya urusi... Dunia inachangamka
 
Sawa ila Allah za roho wenu hawezi kumkomboa mwanajihad mwenzenu Russia dhidi ya fimbo za m-U.S.A .....U.S.A ni nyani mzee haogopi umande..

Yaani anaweza kuwaunganisha middle East,China,M-N.korea,India na Russia na akawatandika za makalio
Tuseme tu NATO kwa sababu tukianza kuwa mention itakuwa ni aibu
Russia amewabanda NATO kwenye kona moja inaitwa ukraini anawapatia mfueni vipi!
pa kupumulia hawana wako tu wanatapatapa
Kile unaongea ni impossible tense chief

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ila Allah za roho wenu hawezi kumkomboa mwanajihad mwenzenu Russia dhidi ya fimbo za m-U.S.A .....U.S.A ni nyani mzee haogopi umande..

Yaani anaweza kuwaunganisha middle East,China,M-N.korea,India na Russia na akawatandika za makalio
Hata yeye hutegemea asaidiwe na England, France, Poland, Australia, Canada nk.
Iraq kwenyewe walikuwa nchi hizo.
Hakwenda peke yake.
 
Kumbe,sasa ikawaje bado himars zaendelea kuua wagners
 
Na ni mwezi sasa Russia anaipigania Bakhmut πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Akili ya mmarekani anaijua mwenyewe
Mwezi? Bakhmut wameanza kuipigania August 2022, wiki ileile Soledar wameanza kuipigania. Huku RuArmy, huku Wagner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…