Nyasa: DC Kanali Laban Thomas aagiza polisi kuwakamata wanaovaa nguo fupi na "milegezo"

Nyasa: DC Kanali Laban Thomas aagiza polisi kuwakamata wanaovaa nguo fupi na "milegezo"

Hawa Kenge hawana tofauti na Taliban, baada ya kuwaza vipa umbele vya nchi, Ajira, afya, viwanda,wanawaza upuuzi huu, harafu huyu RC ni kanali kabisa wa jeshi,what a shame

Nchi za western zimewaharibu muno co siri,, unamuita kenge, halafu unasema anawaza upuuzi!!!! Watoto wako cjui watajifunza nini kutoka baba.
 
Ndio maana watu tunataka katiba mpya ili ikafute hivi vyeo vigine watendaji wake waakula kodi zetu bure!
Hapo ukimuuliza akupe takwimu za miradi ya maedeleo kama shule, zahaati, barabara, na miradi ya maji amavyo bado havijakamilika na wananchi wanateseka kukosa huduma hizo muhimu wala hawezi kukujibu chochote, maana anashughulika na vitu vidogo sana!
Sio

Sio kwamba anashughulika na vitu vidogo,bali anashughulika na vitu vya kijinga.
 
Katiba mpya ikipatikana itaaondoa kupeana vyeo kwa kujuana na ukada badala ya performance.
 
Mkuu wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, amepiga marufuku mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini na suruali za milegezo wilayani kwake na amemuagiza Mkuu wa Kituo cha Polisi wilaya ya Nyasa, kuwakamata na kuwachukulia hatua wale wote watakao vaa mavazi ya namna hiyo.

Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na kujibu kero za wananchi wa Kijiji cha Lulimbo wilayani humo, ambapo pia akakemea tabia ya wanaume wanaopiga wake zao na kuwataka wabadilike la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.

"Wanyasa ni wastaarabu bwana, hata wakiwa wanacheza Mganda wanavaa nguo nyeupe na hazichafuki hata wakicheza masaa na masaa, nguo fupi na Milege Hazitakiwi wilayani Nyasa," amesema Mkuu wa Wilaya.

View attachment 1905898
Mkuu wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lulimbo
Wanaopiga wake zao watachukuliwa hatua ila waliovaa nguo zao wakamatwe ?
 
Huu ni utumiaji mbaya wa madaraka uliopitiliza.

Hawa viongozi wajinga wanataka kuleta mambo ya kishamba miaka 60 iliyopita.
 
Hawa Kenge hawana tofauti na Taliban, baada ya kuwaza vipa umbele vya nchi, Ajira, afya, viwanda,wanawaza upuuzi huu, harafu huyu RC ni kanali kabisa wa jeshi,what a shame
Yaani hapo amewaza na kuwazua ndiyo kaja na huu mkakati😀.
 
Hawa Kenge hawana tofauti na Taliban, baada ya kuwaza vipa umbele vya nchi, Ajira, afya, viwanda,wanawaza upuuzi huu, harafu huyu RC ni kanali kabisa wa jeshi,what a shame
Ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom