Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Kwani uvaaji wa nguo umeiga wapi kama sio kwa mabeberu?Mabeberu wamewaharibu ninyi co siri,, sasaiv mnaiga everything kutoka kwao. Mwanaume halisi mwenye kujitambua awezi kupingana na mwamba.
Tangu lini Tanganyika walikua na ustaarabu wa kutengeneza nguo?
Utamaduni wetu ulikua kuvaa magome kuficha sehemu za Siri swala la mavazi tumeiga huko kwa mabeberu.
Wew amabe hujaharibiwa na tamaduni za mabeberu rudi kuvaa ngozi na magome ya miti.