Nyasa: DC Kanali Laban Thomas aagiza polisi kuwakamata wanaovaa nguo fupi na "milegezo"

Nyasa: DC Kanali Laban Thomas aagiza polisi kuwakamata wanaovaa nguo fupi na "milegezo"

Mabeberu wamewaharibu ninyi co siri,, sasaiv mnaiga everything kutoka kwao. Mwanaume halisi mwenye kujitambua awezi kupingana na mwamba.
Kwani uvaaji wa nguo umeiga wapi kama sio kwa mabeberu?

Tangu lini Tanganyika walikua na ustaarabu wa kutengeneza nguo?
Utamaduni wetu ulikua kuvaa magome kuficha sehemu za Siri swala la mavazi tumeiga huko kwa mabeberu.

Wew amabe hujaharibiwa na tamaduni za mabeberu rudi kuvaa ngozi na magome ya miti.
 
Kwaiyo hata disco ni mwendo wa kanzu na hijabu na kwenye baa ni dela na kitenge kwa kwenda mbele.
 
Haya ni MATOKEO ya MFUMO uliofeli, unazalisha VIONGOZI kama hawa na yule mwingine wa kujenga magaereza kila wilaya.

TANZANIA inahitaji complete system reform, bila hivyo huko tuendako.

#KATIBA MPYA#
Ni mshamba huyo DC
 
Kwani uvaaji wa nguo umeiga wapi kama sio kwa mabeberu?

Tangu lini Tanganyika walikua na ustaarabu wa kutengeneza nguo?
Utamaduni wetu ulikua kuvaa magome kuficha sehemu za Siri swala la mavazi tumeiga huko kwa mabeberu.

Wew amabe hujaharibiwa na tamaduni za mabeberu rudi kuvaa ngozi na magome ya miti.

Ustaarabu tumeletewa na waarabu, na sio wazungu wanaowafundisheni ujinga na kufuata tamaduni zao za kinyambafu. Hivyo waarabu ndiyo wameleta ustaarabu mzee. Mungu awabariki waarabu.

FaizaFoxy, Mohamed Said n.k ukitaka mengi watakujuza.
 
Ahh nlijua dar,arusha,mwanza, mbeya

Ova
Hata mi nimeshangaa
Wilaya ya nyasa kwa asilimia kubwa ni pori na mashamba , hiyo miligezo na mini itakuwa eneo dogo sana linaongelewa
 
Hivi DC kawaza kweli baada ua kuwakamata nini kitafuata? Au ndio wachukuliwe hatua tu?. Huu ni mwanya mwingine huko upolisini. Ila hapa kwenye wanaopiga wake mbona ni onyo tu Mh.DC?

Yaani kosa lina onyo na lisilo kosa lina hatua [emoji848]
 
Watz wengi wanawaza ngono kuliko chochote.
Kwani mtu akivaa kimini au suruali kata Kyunduu huku amenunua mwenyewe na ana ishi maisha ya kujitegemea kuna ubaya gani?
Tuwe serious na mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom