Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

Unalima wap mkuu
 
mbegu zinapatikana Kibaha,mtu anayehitaji tuwasiliane 0756625286,yanatumwa sehemu yoyote ya Tanzania.
Ni nyasi zinazotoa malisho mengi katika eneo dogo.Zinafanana na majani tembo lakini zenyewe ni matokeo ya mchanganyiko wa napier tofauti tofauti.
Kias gan unauza ili tuandae bajeti
 
Kwa anayehitaji mbegu za Juncao na mbegu za nyasi kama Buffel na Rhodes,mbegu za mikunde na miti malisho tuwasiliane 0756625286.

..unayo mbegu ya majani yanayoitwa brachiaria?

..huyu jamaa hapa chini ni Mghana lakini amepata brachiaria toka Kenya.
Utangulizi:


Kupanda:


Kuvuna:


Kuhifadhi:


Cc wakaliwetu , CHASHA FARMING, Malila
 
Tukuyu majani haya ......kila mwenye ng'ombe ...
Lazima apande ...coz husaidia Sana kwenye ulishaji wetu ( zero grazing)

Maajabu yake majani haya hustawi zaidi kipindi Cha kiangazi heavyweight [emoji23][emoji23]

Tukuyu majani haya tunaita ( kigugu).......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…