Nyasi zinapendezesha sana neighborhoods za Marekani

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Kila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza

Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele

Pili miundombinu, kuanzia barabara za magari, watembea kwa miguu, yani hawakupi nafasi ya kuona mchanga

Hizi nyasi zinapendezesha sana mazingira, ukijumlisha na palivyopangika, utakuwa amazed.

Hata nyumba ya kawaida tu unakuta mbele kuna garden yani panapendeza panaonekana pa kishua ghafla

Suburbs zinavutia sana kimuonekano
 
Sasa mkuu unataka tisiweke mageti wakati tunapunguza vibaka , maana nchi yetu hata vyombo vya ulinzi tulivyovipa mamlaka ya kutulinda bado ni wezi wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…