Nyasi zinapendezesha sana neighborhoods za Marekani

Nyasi zinapendezesha sana neighborhoods za Marekani

Hio Dodma mitaa ya IYumbu bila tank la maji utaoga ya dukani... Mgao wiki 2 ni jambo la kawaida sana.
Sasa hadi Capita city ina shida ya maji. Duh, nchi yangu bhana
 
Afrika tunajenga vijijela mitaani,kuta ndefu na high voltage wire juu.
 
Sasa hadi Capita city ina shida ya maji. Duh, nchi yangu bhana
Mkurugenzi wa Mamlaka ameshakiri mara kadhaa wanazalisha 50% tu ya maji yanayohitajika...Ndio maana kuna mgao.
 
Back
Top Bottom