TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,353
- 11,038
Hii mitaa huwezi kukuta mtu mweusi ambaye ni maskiniKila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza
Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele
Pili miundombinu, kuanzia barabara za magari, watembea kwa miguu, yani hawakupi nafasi ya kuona mchanga
Hizi nyasi zinapendezesha sana mazingira, ukijumlisha na palivyopangika, utakuwa amazed.
Hata nyumba ya kawaida tu unakuta mbele kuna garden yani panapendeza panaonekana pa kishua ghafla
Suburbs zinavutia sana kimuonekano
View attachment 3563748View attachment 3563749View attachment 3563750View attachment 3563751View attachment 3563753View attachment 3563754View attachment 3563755View attachment 3563756View attachment 3563758View attachment 3563760View attachment 3563761View attachment 3563762View attachment 3563763View attachment 3563764