Hii mitaa huwezi kukuta mtu mweusi ambaye ni maskiniKila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza
Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele
Pili miundombinu, kuanzia barabara za magari, watembea kwa miguu, yani hawakupi nafasi ya kuona mchanga
Hizi nyasi zinapendezesha sana mazingira, ukijumlisha na palivyopangika, utakuwa amazed.
Hata nyumba ya kawaida tu unakuta mbele kuna garden yani panapendeza panaonekana pa kishua ghafla
Suburbs zinavutia sana kimuonekano
View attachment 3563748View attachment 3563749View attachment 3563750View attachment 3563751View attachment 3563753View attachment 3563754View attachment 3563755View attachment 3563756View attachment 3563758View attachment 3563760View attachment 3563761View attachment 3563762View attachment 3563763View attachment 3563764
Mkuu, neighborhoods za Marekani ni nzuri kimuonekano, ni uhalisia sio AIpicha AI hizo
hata hizo mjengeo ni AIMkuu, neighborhoods za Marekani ni nzuri kimuonekano, ni uhalisia sio AI
View attachment 3563769
View attachment 3563770
View attachment 3563771
DuhhhhHii mitaa huwezi kukuta mtu mweusi ambaye
Jimbo gani hilo mkuu unalolisemea au ni wapi hukoHizo zikiwa ndefu halafu,haujazi kataa wanakuja jamaa wanazikata.
Unakutana na bill mwisho wa mwezi
Unajisumbua, hizo neighborhoods zimejaa nyingi mno Marekani.hata hizo mjengeo ni AI
Nenda Sora 2 kabla haijazimwa
Soar2 AI - AI Video & Image Generator | Try Sora 2 & Veo 3 Here
Soar 2 is your gateway to premium AI video and image generation. Try leading models including Sora 2, Veo 3, Nano Banana, and Flux Kontext—all through one unified creative platform. No multiple subscriptions needed.soar2.ai
Hapo hata hali ya hewa ni nzurii, sawa tu nna England na Greenland. Wenzetu wameendelea kila mahalaKila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza
Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele
Pili miundombinu, kuanzia barabara za magari, watembea kwa miguu, yani hawakupi nafasi ya kuona mchanga
Hizi nyasi zinapendezesha sana mazingira, ukijumlisha na palivyopangika, utakuwa amazed.
Hata nyumba ya kawaida tu unakuta mbele kuna garden yani panapendeza panaonekana pa kishua ghafla
Suburbs zinavutia sana kimuonekano
View attachment 3563748View attachment 3563749View attachment 3563750View attachment 3563751View attachment 3563753View attachment 3563754View attachment 3563755View attachment 3563756View attachment 3563758View attachment 3563760View attachment 3563761View attachment 3563762View attachment 3563763View attachment 3563764
Niliona sana Florida mkuu.Jimbo gani hilo mkuu unalolisemea au ni wapi huko
Hio Dodma mitaa ya IYumbu bila tank la maji utaoga ya dukani... Mgao wiki 2 ni jambo la kawaida sana.Hizo simtank ni kithibitisho tosha cha ufukara na shida ya maji.
Ndio maana huko hakuna vumbiii kwa sababu ardhi yetote ambayo haina majani lazima itakuwa ina mmea wowote umeoteshwa iwe ni ukoka au chochoteNiliona sana Florida mkuu.