Haina haja picha huku mtaani imekuwa ni keroWeka picha kwanza , Kisha tujadili mada
Hata mm nimeshindwa kuelewaFiber si inapotishwa chini kwa chini?
Kuna hizi wananingʼiniza kama ttcl kila mahali unakuta nyaya halafu hazina hata mpangilio kama mgeni utadhani ni fundi radio amefungua radio iliyokuwa nyumba ya panyaFiber si inapotishwa chini kwa chini?
Mkuu zinapitishaa Kwa juu bongo hatukuandaa hiyo mifumo mapema, so hakuna anayetaka kuingia gharamaFiber si inapotishwa chini kwa chini?
Plan ilikuwa ni hiyo kupitisha chini ila dar eneo kubwa halijapimwa na uchimbaji holela nayo changamoto, kuokoa gharama na kupeleka huduma Kwa haraka ni kupitisha kwe nguzo tu.At least wangekuwa wanapangiana eneo fulani wawe labda TTCL na Airtel. Au eneo fulani ni SAVANNA na VODA lakini nadhani haipo hivyo.
Eneo kama la Upanda nyaya zimejazana vibaya sana. Au lah basi wawe wanazipitisha kwa chini, hii inaweza ikawa ni nzuri.
Labda hakai Dar es salaam piaHaina haja picha huku mtaani imekuwa ni kero
Siyo dar tu huku mwanza ni kero mpaka basi nyaya zenyewe haziwekwi kwa mpangilioLabda hakai Dar es salaam pia
Anhaaa, hapo nimekuelewa mkuu.Plan ilikuwa ni hiyo kupitisha chini ila dar eneo kubwa halijapimwa na uchimbaji holela nayo changamoto, kuokoa gharama na kupeleka huduma Kwa haraka ni kupitisha kwe nguzo tu.
Voda, Yas na Airtel walianza hiyo project nao imekufa kabla ya mradi kuanza wamechimba chimba sana lakini bado hawajafanikiwaAnhaaa, hapo nimekuelewa mkuu.
Lione, uwekewe picha wewe kama nani?😡Weka picha kwanza , Kisha tujadili mada
Fiber inatakiwa ipite chini lakini kitaalamu zaidi ila basi tuVoda, Yas na Airtel walianza hiyo project nao imekufa kabla ya mradi kuanza wamechimba chimba sana lakini bado hawajafanikiwa
Kabisa hapa nje ipo moja imelalia nyaya za umemeHaina haja picha huku mtaani imekuwa ni kero
Kweli kabisa sasa Kwa viongozi wetu hawa Kila baada ya miaka mitano wanajenga tena Barbara mpya ni mtihahani sana Kwa kampuni zinazotaka wekeza haya mabomba ya maji tu Kila siku wanayapasua tuFiber inatakiwa ipite chini lakini kitaalamu zaidi ila basi tu
Zinapita pia chini, fiber zinafukiwa ila kuna sehemu inabidi zije juu kwa ajili ya kuunganishia watu majumbani.Mkuu zinapitishaa Kwa juu bongo hatukuandaa hiyo mifumo mapema, so hakuna anayetaka kuingia gharama