Uko sahihi mitandao ya simu walianza hiyo project lakini walichokutana nacho sasa, makazi yetu Kwa ujumla mengi hayajapimwa Kuna ukakasi hapa kwenye upitishaji wa cable, mipango ya serikali nayo sio rafiki bomoa, chimba Jenga ni nyingi, so hakuna kampuni ambayo itakubali cost za maintenance mara Kwa maraZinapita pia chini, fiber zinafukiwa ila kuna sehemu inabidi zije juu kwa ajili ya kuunganishia watu majumbani.
Tulia wewe Nyabumbu wengine hatujui hizo Fiber wayaLione, uwekewe picha wewe kama nani?π‘
nyaya zimekuwa kero sana aiseeeVoda, Yas na Airtel walianza hiyo project nao imekufa kabla ya mradi kuanza wamechimba chimba sana lakini bado hawajafanikiwa
Kweli aisee, jamaa wachovu sana, hapa getini kwangu inanisumbua , imeshuka kwa mara ya pili imebidi niikunje ili angalau iwe juu, ikishuka tena sitajali, nitajifanya siioni na kuipamia na gari. Mwisho wa ukuta kuna waya wa fiber wa kampuni nyingine umekatika kabisa uko chini, sijui hizo nyaya ni nyepesi sana au utaalamu wa kufix ndio haupo.Wahusika wa usambazaji wa Fiber kazi yenu nzuri ila imekuwa kero, nguzo zenu zinadondoka sana, nyaya zenu zinalegea mno, hebu fanyeni kitu ziwe sawa, vinginevyo tutaanza zikata ili mje kuweka vizuri upya
Kweli hasahasa za Savanna πππnyaya zimekuwa kero sana aiseee
Nitaanzisha uzi kuhusu hizo waya za fiber ngojea mechi ya Uingereza na Croatia iishe. Nitakutag.Tulia wewe Nyabumbu wengine hatujui hizo Fiber waya
Uchumi wa solo?At least wangekuwa wanapangiana eneo fulani wawe labda TTCL na Airtel. Au eneo fulani ni SAVANNA na VODA lakini nadhani haipo hivyo.
Eneo kama la Upanda nyaya zimejazana vibaya sana. Au lah basi wawe wanazipitisha kwa chini, hii inaweza ikawa ni nzuri.
Mechi imeisha we qengeh! Tumepiga mtu 4Nitaanzisha uzi kuhusu hizo waya za fiber ngojea mechi ya Uingereza na Croatia iishe. Nitakutag.