Nyayo za Lucy hizi hapa zimejaa mbigili

Kumradhi, hizi picha haswa hii hii aliyovaa ‘Kihindi’ zinathibitisha anapenda kusafirisha katika barabara katika njia za tope.
Nashukuru sana kwa kutuwekea namba yake japo ni tangazo la biashara linalopaswa kulipiwa.
 
Halafu na wewe ndio unechukua jukumu la kutetea😂😂😂
 
Kumradhi, hizi picha haswa hii hii aliyovaa ‘Kihindi’ zinathibitisha anapenda kusafirisha katika barabara katika njia za tope.
Nashukuru sana kwa kutuwekea namba yake japo ni tangazo la biashara linalopaswa kulipiwa.
Hahahaha😀😀😀
 
Halafu na wewe ndio unechukua jukumu la kutetea😂😂😂
mimi na katekista joseph ludovic, mwalimu wa katekisi tutaendelea na majukumu yetu ya utume wa jumuiya na yale ya UWAKA mpaka pale walei na kanisa kanisa kwa ujumla wake litakapoamua vinginevyo.

minyukano miongoni mwa viongozi wa jumuiya na kanda dhidi ya kuchagua na kutetea upande wa kitima na ruawaich au upande wa Lucy havitayumbisha imani yetu thabiti kwa Mungu na kwa kanisa katoliki la mitume.

kanisa katoliki sio kitima, ruwaichi, pisa au lucy.

Kanisa katoliki ni Yesu Kristo mwenyewe katika maumbo ya mkate na divai, kinyme na hapo ni porojo tu
 
Lucas kapime kwanza afya ya akili yako kabla hujachelewa sana.
Ni vigumu kwetu wasomaji kupambanua ni nani kati yenu akapime afya ya akili.....kwa vile ujumbbe wa Lucas upo wazi na mfupi. Pengine wewe usiyeelewa ndio unamatatizo.
 
Muislam mwanamke akiolewa jina la baba yake linakuwa hilo hilo, jina la mume haliwezi kuwa jina la baba la mke. Mambo hayo ni ya wakiristo sio kwa Muislam
Kwa hiyo unabisha kwamba hilo guberi halikuolewa na muislam?
 
Mkuu Kalamu . Klicho wazi ni kuwa CCM sasa hivi imejaa matapeli labda niseme 80%. Mtu yeyote aliyeko CCM sasa hivi ukifuatilia historia yake ya maisha ni lazima unakuta imejaa madoa mengi kiasi ambacho kama ukifanya vetting, basi chama kitabaki na watu wachache sana.
 
Hata hao wachache waliobaki huko inabidi kuhoji wako huko kwa sababu zipi hasa!

Kwamba wanalinda maslahi yao, au siyo?

Akina Nchimbi; akina Kabuti Kalamaganda, Kina Kitako Mkombo; kina Pindo Kayanza; kina kafulula Tumbili; kina AshaRose migiyo; kina AdamaKimbusa; kina Stephen Wassura;; kina kihongosi; n.k., n.k..
Ni nani huko ndani ya CCM aliyebaki?

Kama wapo wachache ndani ya chama hicho ambao wanavumilia uozo wa aina hii ndani ya chama, uvumilivu huo unatokana na nini?

Hivi pius Msekwa alishakufa?
 
Pius nadhani ni mzima ila huenda kazeeka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…