Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mnaomshauri jamaa afuge mbwa labda nyegere (honey badger) hamumjui vizuri. Kama simba hafui dafu sembuse kijibwa koko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusivunjiane heshima wewe msukuma tafadhali 😀 😀 😀 😀Nmekumiss ww mccm!
Huna lolote..sukuma gang ww ..!😀😀Tusivunjiane heshima wewe msukuma tafadhali 😀 😀 😀 😀
The Honey Badger has an enormous brain. They can undo locks, unwrap wires and climb out of enclosures. They are one of only a few critters on Earth known to use a variety of tools: not only one or two they discovered by accident. 🤣🤣🤣🤣 Kumbe wajanja hivi!Mnaomshauri jamaa afuge mbwa labda nyegere (honey badger) hamumjui vizuri. Kama simba hafui dafu sembuse kijibwa koko.
Mbwa? Acha masihara mzee humjui nyegere wewe 😂Dawa fuga mbwa, ukishindwa jenga banda la Cement, ukishindwa acha kufuga kuku ukishindwa na hapo sasa lala na kuku dani.
Kumbuka hawa nyegere wanazaliana nao ukiua mmoja kesho anakuja mwingine sio rahis kuwamaliza ila mbwa wanaogopa kuja.
Huyo kiumbe wa ajabu sana asee. Yani huyo anapambana na pride ya simba zaidi ya 10 na hawamuwezi.The Honey Badger has an enormous brain. They can undo locks, unwrap wires and climb out of enclosures. They are one of only a few critters on Earth known to use a variety of tools: not only one or two they discovered by accident. 🤣🤣🤣🤣 Kumbe wajanja hivi!
Acha kudanganya watu uliona wapi akipambana na simba, wildlife mgt hujasoma pekeyako ujue.Huyo kiumbe wa ajabu sana asee. Yani huyo anapambana na pride ya simba zaidi ya 10 na hawamuwezi.
Ukijua kazi ya mbwa usinge uliza, tatizo mnafuga mbwa kama wale wa wema sepetu vilamba K, kazi ya mbwa ni kukupa viashiria vya tatizo, na kuzuia hata kupambana ili wewe uamke ukamsaidieMbwa? Acha masihara mzee humjui nyegere wewe [emoji23]
Hahaha sawa mkuu nakuacha maana asiejua haambiwi.Acha kudanganya watu uliona wapi akipambana na simba, wildlife mgt hujasoma pekeyako ujue.
Huyu nyegere mnampaisha mnoo.. Simba huwa anakaona kama kadubwasha kaajabu kadogo kanajidai kudindisha.. Ila simba aamue lake nyegere jeuri anaipatia wapi.. [emoji23]Mnaomshauri jamaa afuge mbwa labda nyegere (honey badger) hamumjui vizuri. Kama simba hafui dafu sembuse kijibwa koko.
Simba anamwangusha nyati eti sembuse nyegere wa kg 20 hadi 30, sema simba hawezi kukala sbb kana harufu mbaya sana na manyoya mengiHuyu nyegere mnampaisha mnoo.. Simba huwa anakaona kama kadubwasha kaajabu kadogo kanajidai kudindisha.. Ila simba aamue lake nyegere jeuri anaipatia wapi.. [emoji23]
Simba anamwangusha nyati eti sembuse nyegere wa kg 20 hadi 30, sema simba hawezi kukala sbb kana harufu mbaya sana na manyoya mengi
Sawa ila unaweza kuamini Nungu nungu na miba yake yote hadi karibia na kichwa kizima ila anauwawa na viumbe vinavyo kula nyama yake.Ila wakuu kuna viumbe vikijilinda ni vya ajabuu. Mfano rahisi tu wewe unaweza ukamzibiti ng'ombe wa kilo 400 ila amini nakwambia Paka wa kilo 5 akikuamulia hautafua dafu. So usilinganishe uzito wa kiumbe kupima balaa lake mkuu. Nyoka tu wa nusu kilo anaweza kukutoa uhai chapu sana.
Ila wakuu kuna viumbe vikijilinda ni vya ajabuu. Mfano rahisi tu wewe unaweza ukamzibiti ng'ombe wa kilo 400 ila amini nakwambia Paka wa kilo 5 akikuamulia hautafua dafu. So usilinganishe uzito wa kiumbe kupima balaa lake mkuu. Nyoka tu wa nusu kilo anaweza kukutoa uhai chapu sana.