cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
[emoji23][emoji23][emoji23]uko sehemu gani hyo ambako kuna nyegere maana hicho kimnyama maskani yake huwa ni porini.Kumbe hawezi kuparamia juu mshenzi huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]uko sehemu gani hyo ambako kuna nyegere maana hicho kimnyama maskani yake huwa ni porini.Kumbe hawezi kuparamia juu mshenzi huyu
kwa taarifa yako hakuna simba aliyewahi kumuua nyegere, huwa anaamua kumuacha tu aende zake kutokana na ubishi wakeAcha kudanganya watu uliona wapi akipambana na simba, wildlife mgt hujasoma pekeyako ujue.
Hii inanikumbusha enzi hizo nipo kijijini Urambo kuna dogo walimjaza upepo, alikuwa anataka kumkamata nyegere, aling'olewa korodani zake dogo ali-RIP wazazi walishindwa kumpeleka hospitali ndani ya mudaHuyu mdudu sielewagi kwa nini hushambulia eneo hilo tu.....!/nadhani hujua lina maumivu makali.
Hii ni kweli kabisa,kuna video nyingi sana youtube kwa ushahidikwa taarifa yako hakuna simba aliyewahi kumuua nyegere, huwa anaamua kumuacha tu aende zake kutokana na ubishi wake
Mwamba nyegere hata Simba anamkimbia.
kwa taarifa yako hakuna simba aliyewahi kumuua nyegere, huwa anaamua kumuacha tu aende zake kutokana na ubishi wake
Hahaha tena kama wanakuja na dem wake ndo akitaka kupambana nae mwamba nyegere atakua na hasira balaa anadhani anataka kuibiwa demu na mwanadamu. Lazima amle makende yangNyegele ni mnyama hatari sana. Tena akiwa mwanaume ndio kabisa. Na ukikumbana naye kuwa makini. Wana meno makali na lazima waondoke na kende zako. Dawa ya kupambana na Nyegele ni kujenga banda la juu. Kuku wako walale juu kwenye chanja. Kibaka hawezi kuchimba shimo kama la sungura na kuiba kuku. Pia hakuku hawezi kupiga kelele anapokamatwa na nyegele kutokana na namna ya ukamataji wao. Na hapo ulipo lazima watakuwa wanakuja Mke na mume.
Yeah, ana wivu kupitiliza na anajua kulinda mwenza wakeHahaha tena kama wanakuja na dem wake ndo akitaka kupambana nae mwamba nyegere atakua na hasira balaa anadhani anataka kuibiwa demu na mwanadamu. Lazima amle makende yang
Kale kajamaa kwa demu wake usiombee
Si mchezoUsijaribu kufuga mbwa ataliwa na nyegere nilishawah kushuhudia nyegere wakimla fisi wa mganga simiyu
Mkuu nimekuelewa vyema,ukiweza kuwasoma vizur Hawa wanyama wakufugwa kuna mambo mengi Sana sisi kujifunza kupitia wao,mm binafs nimetokea kuipenda Sana elimu ya wanyama napenda Sana kuwajua Zaid na kujifuna kuhusu waoHuyo ni mwizi binadamu ndiye anayewaiba hao kuku ndio maana kesho yake waliendelea kulala umo bandani maana Kuku wanatabia ya kipekee sana mfano wanyama wengine wavamizi kama jamii ya kicheche n.k wakiingia kwenye Banda lao na kuwashambulia basi kesho yake wasingeweza kulala tena kwenye Banda ilo wanakuwa na uoga sana
Mie kwangu ilitokea mnyama fulani jamii hiyo ya kicheche aliwavamia na kuwauwa baadhi ya kuku, Basi kesho yake kuku wote waligoma kuingia bandani na kuja kulala jiko la ndani tena wakiwa na uoga sana mpaka nilipojenga Banda lingine imara zaidi, ndipo nikagundua kumbe inawezekana hawa wanyama wakufuga walimfata binadamu kwaajiri ya ulinzi wao