johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa.......!si ajabu hata ukoo wako mzima hakuna mwenye kadi ya kupigia kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.......!si ajabu hata ukoo wako mzima hakuna mwenye kadi ya kupigia kura.
Jamani eee ,kweli huu ni mzaha mtupu.Halafu mmoja hapo ni mwoga kwelikweli hajiamini ,sura ya uso inajieleza.Eti kwa mfano ndiyo imeshakuwa na inaripotiwa kwamba kwenye vyombo vya habari kuwa, 'Rais wa JMT Tundu liissu akiwa na makamu wake Salum Mwalimu'.Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na utani huu mbaya.View attachment 1531036
Ni Yeye Tundu Lissu
AnasindikAcha asindikize!
Kuepusha hili ungeomba Tundu Lissu asingezaliwa, midhali amezaliwa na anaishi hili halikwepeki.Jamani eee ,kweli huu ni mzaha mtupu.Halafu mmoja hapo ni mwoga kwelikweli hajiamini ,sura ya uso inajieleza.Eti kwa mfano ndiyo imeshakuwa na inaripotiwa kwamba kwenye vyombo vya habari kuwa, 'Rais wa JMT Tundu liissu akiwa na makamu wake Salum Mwalimu'.Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na utani huu mbaya.
Are you in your sense?Anasindik
Kuepusha hili ungeomba Tundu Lissu asingezaliwa, midhali amezaliwa na anaishi hili halikwepeki.