Jamani eee ,kweli huu ni mzaha mtupu.Halafu mmoja hapo ni mwoga kwelikweli hajiamini ,sura ya uso inajieleza.Eti kwa mfano ndiyo imeshakuwa na inaripotiwa kwamba kwenye vyombo vya habari kuwa, 'Rais wa JMT Tundu liissu akiwa na makamu wake Salum Mwalimu'.Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na utani huu mbaya.