Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika

Hivi kweli unategemea mimi niingie na wewe katika mjadala wa sampuli hii?
Hapana haja.

Hatuwezi kupata tija wala wanaukumbi hawawezi kunufaika.
Muhimu kwako katika ile post ni kuwa na tabia njema.

nilichokisema ni ukweli na sifa ya ukweli kwamba huwa haujadiliwi ni utupu kazi yako ni kuona na kuelewa
 

wakristo ni waoga?,wanaogopa nini na kwa nini? nahisi ubongo wako umeumbwa kwa tende, vipi wewe unaupenda ukristo?
 
 
Ningeshangaa kama Mohamed Said asingetia mguu ndani ya hii thread ha ha ha ha ha ha.

Yaongelewe maandiko yake humu na kutukanwa juu na yeye ni member wa JF halafu ayaone halafu asije? hiyo si sifa ya "cowards". Mohamed Said kisha kwambia kitabu chake kakiandika wakati Nyerere yu hai na kakiona na hakungoja afe ndio akiandike. Wala hakutafuna maneno, ni nini kinachokushangaza ewe mjivuni?
 

Wewe ni mtu wa ajabu na kigeugeu sana, unapomuomba mtu asinukuu kitabu halafu wewe hoja zako unanukuu< sijui ueleweke vipi?

jikumbushe halafu tazama ulichoandika hapo juu:
 
kwel mohamed the facts speak by themselves, kama umetoa ushahd na bado m2 anatukana badala ya kujibu hoja

Ukiona wanaanza matusi ujuwe hawana hoja na wamelielewa somo lakini hawataki kulikubali kwa ubaguzi wa ujinga tu.
 
Katika uchunguzi nilioufanya juu ya jambo hili nimegundua kuwa kuna sababu nne kuu zilizowapelekea waislamu wajenge hisia za kuwapo udini hapa nchini, na pia wajitokeze kulalamika na kudai haki zao. 1. KITABU CHA DR. JOHN C. SIVALON Kwanza, kitabu kilichoandikwa na Dr. John C. Sivalon, alichokiita "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA - 1953 HADI 1985" kimekuja kuwafunua macho waislam na kuwahakikishia kuwa zile hisia za udini ndani ya serikari, dhidi ya uislamu, ni zakweli Kitabu hicho kimedhihirisha wazi wazi kuwa kanisa katoliki, Tanzania chini ya uangalizi wa Vatikano, katika kipindi chote cha utawala wa awamu ya kwanza, chini ya uongozi wa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere, lilikuwa likichanganya dini na siasa, limekuwa likishirikiana na Serikari katika kulipendelea kanisa hilo na kuudhibiti uislamu waislamu na waislumu kwa jumla.
-MWANDISHI: MAALIMU ALLY BASSALEH
 
Ukweli unamuuma nani? unaelewa kwamba Zanziba hamna kitu hatakimoja mbacho kwacho mnatusaidia Bara wala kutuzidi zaidi ni kutuongezea wategemezi tu,hivyo hatuoni faida ya Muunggano hasa kwetu bara,nyie kupe ndio muunganomnautaka kwa sababu umeme unatoka bara hamlipi mnapewa bure wakati wabara wanapandishiwa bili kulipia gap lililoko kati ya umeme mnaotumia halafu mnasema ukweli unamuuma nani? hatulali tukaota kwamba kuna sehemu inaitwa Zanzibar sababu wanaofaidika nao huo muungano wapo lakini sio sisi
 
Air Cadet
Mara nyingi huwa nawashngaa sana watu kam wewe ambao badala ya kufikiria mambo ya maendeleo badala yake unakuwa kama mwanamke anayetafuta mume,kila mara mmekua mkilalamika kwamba waislamu munaonewa kitu cha ajabu sana kwa mwanaume kama wewe kuandika kitu kama hicho means that wewe sio mwanaume ni kike sana,
hivi uthibitisho gani unaothibitish hayo malalamiko yenu? saana ni ufinyu wa akili na akili za kushikiwa. wewe kama mtu mwenye akili nyie mmekalia kupeleka watoto wenu kuwakaririsha kiarabu ili waje wasome qurhani {kiarabu} ili baadae wawe wganga wa kienyeji unashindana na mtu anayekwenda shuleni kuongeza elimu halafu kwenye ajira unataka wote mpewe nafasi sawa hivi hiyo ipo kweli? mtalia sana tangu mwanzo wakristo waliwatangulia walifungua shule na kuwapeleka watoto wao shule na wakasoma sana huwezi kujilinganisha nao labda usome sana ndipo mtawafikia,shule nyingi za kikristo zilichukuliwa na serikali lakini bado zipo nyingi na zinazotoa elimu bora,tofauti na shule za kiislamu ambazo wao wamekalia kuwafundisha kuchukia wenzao badala ya masomo
Angalia shule zinazoongoza kwenye mitihani ya kitaifa anzia darasa la saba,zinazoongoza ni za kikristo tu,nenda O-level shule zinazofanya vizuri ni za Kikristo,nenda A-level i hizo hizo tu,wakristo wana vyuo vikuu vingapi hapa Tanzania? na j waislamu wanavyo vingapi? Chuo cha Morogoro walipewa msaada na Serikali kilikuwa chuo cha Tanesco,sasa sema kwa mtaji huo humkuti mkristo hata kama utapiga kelele nyamaza tu na ukubali matokeo kwmba kakusinda
 
mnasubiri afe ndio mumshambulie, people like Mohamed Said are simply spineless b.astards/

Kwa kauli yako hii, umetudhihirishia kuwa wewe ni mtu wa aina gani. Usije sahau kuwa ukimnyooshea mtu kidole kimoja, vitatu vyakuelekea wewe mwenyewe. Bwana Mohammed Said atafanya ihsani kubwa sana akikujibu na kwa mujibu nilivyomsoma mimi, si hasha kashakuonyesha huo ustaarabu!
 
Bwana jadiliana na akina Mohamed Said, my time is too valuable for this nonsense/
 

Kama una uhakika kuwa alikisoma, alikuwa na maoni gani baada ya kukisoma?
 

Mwl, angekuwa mdini naamini Mwinyi na Jk wasingekuwa Maraisi.Ali taifisha shule za wamishenari na kuziweka zikawa za umma na kuhakikisha elimu inakuwa bure.Hapo ndio waislamu wajanja walipowapeleka watoto wao shule.Hoja nyingine watu wanaozileta ni za kipuuzi na unafiki tu.Wamepewa madaraka wameshindwa kuperform wanaanza kumtafuta mchawi.
 

Changa la macho!
 

Maneno Yapo juu ya mstari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…