Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nyerere hakumkabithi Mwinyi uenyekiti wa CCM alipong'atuka kwenye urais. Aliendelea kuwa Mwenyekiti ( kama sikosei kwa karibu term yote ya kwanza ya Rais Mwinyi) wakati Mwinyi ni Rais. Aliachia ngazi baada ya kujiridhisha kuwa nchi inaenda vizuri na kugundua kuwa sio haki kwa nchi inapokuwa na power centres mbili. Toka hapo nafasi ya kila Rais amekuwa akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM. Katiba ya CCM ( tofauti na ya JMT) haina ukomo wa mtu kushika nafasi yeyote ya uongozi.Nyerere aliianzisha CCM.
Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia.
Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi.
Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi.
Kwa hiyo lolote litakalotokea Mbowe atakuwa mshindi.
Lisu amesema atakubali iwapo atashindwa kihalali, usitake kuacha hilo neno boss.Nyerere hakumkabithi Mwinyi uenyekiti wa CCM alipong'atuka kwenye urais. Aliendelea kuwa Mwenyekiti ( kama sikosei kwa karibu term yote ya kwanza ya Rais Mwinyi) wakati Mwinyi ni Rais. Aliachia ngazi baada ya kujiridhisha kuwa nchi inaenda vizuri na kugundua kuwa sio haki kwa nchi inapokuwa na power centres mbili. Toka hapo nafasi ya kila Rais amekuwa akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM. Katiba ya CCM ( tofauti na ya JMT) haina ukomo wa mtu kushika nafasi yeyote ya uongozi.
Wengi wetu hatukupendezwa na juhudi zilizokuwa zinafanyika za wazi za kutaka Mbowe asigombee. Tuliona kuwa uamuzi huo alitakiwa kuachiwa Mbowe. Na uamuzi wa nani awe Mwenyekiti wa Chadema waachiwe wale wenye haki ya kupiga kura katika uchaguzi wao.
Mbowe amesema kila mara kuwa ataheshimu matokeo ya uchaguzi hata kama atashindwa. Lissu anasema ataukubali kwa masharti. Hii naona anajiacha nafasi ya kuupinga kama atashindwa bila kujali impact yake kwa chama chake.
Amandla...
Hiyo ndio caveat yenyewe. Yeye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa nini awe na wasiwasi wa uhalali wa uchaguzi pale tu atakaposhindwa? Kama ana hofu hiyo ni vyema ajitoe kabla ya uchaguzi na atoe sababu kwa nini hana imani kuwa uchaguzi utakuwa wa haki. Ameweka hiyo caveat ili aweze kufanya vurugu kama atashindwa.Lisu amesema atakubali iwapo atashindwa kihalali, usitake kuacha hilo neno boss.
Kuna siri gani ya hizi chaguzi kutawaliwa na uhuni? Hana tatizo na matokeo halali, usitake akabali matokeo yoyote haya yasiyo halali. Halafu ww unapata shida gani mtu kutaka mshindi halali?Hiyo ndio caveat yenyewe. Yeye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa nini awe na wasiwasi wa uhalali wa uchaguzi pale tu atakaposhindwa? Kama ana hofu hiyo ni vyema ajitoe kabla ya uchaguzi na atoe sababu kwa nini hana imani kuwa uchaguzi utakuwa wa haki. Ameweka hiyo caveat ili aweze kufanya vurugu kama atashindwa.
Amandla...
Kama kuna uhuni si auelezee sasa na atoe ushahidi wa kinachoendele. Itakuwaje huo uhuni uonekana tu baada ya yeye kushinda? Sasa ndio wakati wa kutoa vigezo vya "ushindi halali". Au wewe unaweza kumsaidia kwa ku define ushindi halali.Kuna siri gani ya hizi chaguzi kutawaliwa na uhuni? Hana tatizo na matokeo halali, usitake akabali matokeo yoyote haya yasiyo halali. Halafu ww unapata shida gani mtu kutaka mshindi halali?
Huenda wala husikilizi asemacho muda wote. Amesema wapiga kura lazima wawe ni wajumbe halali, kura zipigwe mapema na kuhesabiwa na sio kusubiri usiku. Hayo ni baadhi ya maangalizo yake.Kama kuna uhuni si auelezee sasa na atoe ushahidi wa kinachoendele. Itakuwaje huo uhuni uonekana tu baada ya yeye kushinda? Sasa ndio wakati wa kutoa vigezo vya "ushindi halali". Au wewe unaweza kumsaidia kwa ku define ushindi halali.
Amandla...
Wajuzi wa mambo wanasema ni ndugu yenu wa damu huyu Freeman .Nyerere aliianzisha CCM.
Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia.
Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi.
Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi.
Kwa hiyo lolote litakalotokea Mbowe atakuwa mshindi.
Ametaka pia Balozi na taasisi za nchi za nje pamoja na viongozi wa dini wawe waangalizi. Lakini hizi zote ni baadhi. Anapaswa kuweka maangalizo yote na sio haya kiduchu.Huenda wala husikilizi asemacho muda wote. Amesema wapiga kura lazima wawe ni wajumbe halali, kura zipigwe mapema na kuhesabiwa na sio kusubiri usiku. Hayo ni baadhi ya maangalizo yake.
Nyerere aliiacha CCM baada ya CCM kukomaa sana na kutawala miaka mingi, tunahitaji Mbowe akae CDM mpaka CHAMA kikomae na kishike uongozi wa nchi.Nyerere aliianzisha CCM.
Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia.
Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi.
Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi.
Kwa hiyo lolote litakalotokea Mbowe atakuwa mshindi.
Mbowe mmemchoka.Lisu amesema atakubali iwapo atashindwa kihalali, usitake kuacha hilo neno boss.
Malaya
Unauliza au unapigia jibu mstari?Mbowe mmemchoka.
Kang'ang'ania madaraka toka 2004 anataka aondoke 2030 akiwa na miaka 69.Unauliza au unapigia jibu mstari?