Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Amekuwa kama ccm chama kinachokaa madarakani kwa shuruti.Kang'ang'ania madaraka toka 2004 anataka aondoke 2030 akiwa na miaka 69.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa kama ccm chama kinachokaa madarakani kwa shuruti.Kang'ang'ania madaraka toka 2004 anataka aondoke 2030 akiwa na miaka 69.
Anadai hakuna mwenye uzoefu wa kumzidi yeye hapo CHADEMA anahofia Lissu mweney jazba na asiye na breki katika maongezi yake anaweza kukifanya chama kikafa mapema sana.Amekuwa kama ccm chama kinachokaa madarakani kwa shuruti.
Sio ccm, sema dola. Hakuna ustaarabu kwa ccm, maana ustaarabu kwao ni ww kuwaacha wafanye watakavyo na kukutupia makombo. Kuliko chama kiendelee kuwa hai, lakini kisicho na meno kama TLP, ni bora kife.Anadai hakuna mwenye uzoefu wa kumzidi yeye hapo CHADEMA anahofia Lissu mweney jazba na asiye na breki katika maongezi yake anaweza kukifanya chama kikafa mapema sana.
CCM wana uzoefu mkubwa wa mbinu zote, ukitaka za kistaarabu wanazo, ukitaka za kihuni wanazo pia.
CCM kuwa na uhusiano na historia tangu uhuru kinakipa uzoefu mkubwa wa uendeshaji wa nchi hii achana na upungufu wa hapa na pale.Sio ccm, sema dola. Hakuna ustaarabu kwa ccm, maana ustaarabu kwao ni ww kuwaacha wafanye watakavyo na kukutupia makombo. Kuliko chama kiendelee kuwa hai, lakini kisicho na meno kama TLP, ni bora kife.
Hata makada wa KANU hapo Kenya walikuwa na misamiati kama hii yakwako, leo hii KANU iko mortuary, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko wa Tanzania chini ya nyie majizi ya ccm.CCM kuwa na uhusiano na historia tangu uhuru kinakipa uzoefu mkubwa wa uendeshaji wa nchi hii achana na upungufu wa hapa na pale.
Huwezi kukilinganisha na hivyo vyama ambavyo ni mali binafsi za watu fulani. CCM inao mfumo wa kuachiana madaraka kutoka kizazi kimoja kwenda kingine pia ipo nidhamu kubwa ya miaka mingi tofauti na hivyo vyama vya kihuni.
Msingi wa Kenya NI vita ya MAUMAU miaka ya 50 msingi wa Tanzania ni nchi kukabidhiwa kwa Mungu siku moja kabla ya uhuru makanisani na misikitini, hatukupigana vita sisi tofauti na Kenya.Hata makada wa KANU hapo Kenya walikuwa na misamiati kama hii yakwako, leo hii KANU iko mortuary, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko wa Tanzania chini ya nyie majizi ya ccm.
Sio amani, sema ukondoo.Msingi wa Kenya NI vita ya MAUMAU miaka ya 50 msingi wa Tanzania ni nchi kukabidhiwa kwa Mungu siku moja kabla ya uhuru makanisani na misikitini, hatukupigana vita sisi tofauti na Kenya.
Amani imekuwa sifa ya uwepo wa taifa hili.