Nyerere alibainisha maadui wa Taifa letu kuwa ni Ujinga,umaskini na maradhi.Mimi naongeza na uchawi

Nyerere alibainisha maadui wa Taifa letu kuwa ni Ujinga,umaskini na maradhi.Mimi naongeza na uchawi

Ernst kipire

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2019
Posts
299
Reaction score
311
Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh).

Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa

Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini.

Leo naeleza wazi wazi kuwa ili tupige hatua kimaendeleo tunapaswa kupinga Kwa nguvu zote uchawi. Uchawi ni janga kubwa sana katika jamii yeti lisilo zunguamzwa Kwa uwazi lakini madhara yake ni makubwa sana.

Ngoja nikurudishe nyuma kitambo katika Karne ya 17 na 18 nchi za ulaya zilipiga marufuku kuamini katika uchawi na mazingaombwe badala yake kuanza kuamini katika sayansi na teknolojia ambapo mpaka Leo zimekuwa ni jamii za mfano duniani hasa kwetu Africa.

Uchawi ni tatizo kubwa sana mbaya zaidi hata watu walio kwenye mamlaka ya kimaamuzi wanategemea uchawi ili kufanya mambo Yao.

Mengi yanayo fanyika katika uchawi ni uongo uliovishwa uhalisia bandia hivo uchumi uliopatika kichawi, kiongozi,elimu nakadharika kuwa uhalisia bandia usio na uhalisia hvo jamii kudumaa Kwa kuamini uwongo.

Kuna mengi ya kuongea kuhusu madhara ya uchawi lakini niishie hpo.
 
Uchawi unaingia kwenye ujinga.
UJINGA WA MWAFRIKA_page-0001.jpg
 
Habari hizi zimfikie Mzee Kisebengo, anayecheza na mizimu ya mlima Kolelo huko Nziha na Dutumi, Africa ya kwetu
 
UCHAWI unaingia katika ujinga.

Maana wajinga ndio wanaamini uchawi

Pia kuna Adui mwingine nae anaingia kwenye ujinga. Adui huyo ni Imani za dini za wakoloni zinazosema kuna Nyoka anaongea na kuna punda ana mabawa anapaa mpaka mbingu ya saba
 
Vibango kiboa barabarani kushoto mganga kutoka tukuyu mbeya, kulia kutoka kigoma, mbele jiunge na freemason nyuma bibi mtoa majini na kusafisha nyota
 
Hili ni janga kubwa sanaa hasa kijijini. Sema hili janga ni la asali ndugu ni ngumu kukabili lipo nje uwezo
 
UCHAWI unaingia katika ujinga.

Maana wajinga ndio wanaamini uchawi

Pia kuna Adui mwingine nae anaingia kwenye ujinga. Adui huyo ni Imani za dini za wakoloni zinazosema kuna Nyoka anaongea na kuna punda ana mabawa anapaa mpaka mbingu ya saba
We. Jamaa😄
 
Back
Top Bottom