Nyerere alikemea rushwa ndani ya CCM na serikali na aliwakemea viongozi walipobioronga hadharani. Lini aliwahi kuitwa mropokaji?

Nyerere alikemea rushwa ndani ya CCM na serikali na aliwakemea viongozi walipobioronga hadharani. Lini aliwahi kuitwa mropokaji?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.

Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano

Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi na alisema kabisa tena hadharani: " All crooks must go".

Sasa tuambieni ni lini na wapi aliwahi kuitwa mropokaji?

Acheni unafiki na uzandiki, waropokajo mnawajua wakipewa mike(wakiwa live) wanavyoongea pumba.

Lissu kamata hapo hapo mpaka wanyooke.
 
Back
Top Bottom