Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

Na pili akawa anafadhili vikundi vya waasi kama wakina Mseveni na Kagame,mpaka leo maamuzi yake yanaleta machafuko kwenye ukanda wa maziwa makuu
 
Mkuu unatakiwa ufahamu neno Colonialism ama mkoloni halimaanishi ulichoongea.

Ili kuwe na ukoloni inabidi kuwe na Unyonyaji Wa Rasilimali. Nyerere na mapungufu yake alikufa masikini na Familia yake Pia tunawajua ni masikini hivyo hakua mkoloni.

Wakoloni walitoa Rasilimali Africa na kuwanyonya wa Africa na kupeleka Ulaya.

Mtu anaekalia watu kimabavu na kuwanyima uhuru anaitwa dikteta.
 
Tutaendelea kumwenzi pamoja critics nyingi lakini ukweli ni kuwa hakuna kiongozi Tanzania kama Nyerere.Hakuna mtu asiye na kasoro lakini kiutendaji ni mwamba.
 
Mungu azidi kumlinda Nyerere huko aliko kwani bila yeye Madiba asingetoka gerezani na kuja kuwa Rais wa South Africa.
 
Tutaendelea kumwenzi pamoja critics nyingi lakini ukweli ni kuwa hakuna kiongozi Tanzania kama Nyerere.Hakuna mtu asiye na kasoro lakini kiutendaji ni mwamba.
Inawezekana kumuenzi Nyerere katika mambo mengi tu, kama kwenye kupigania uhuru wa Afrika, kwenye kutengeneza jamii ambayo haina matabaka makubwa sana, kwenye kujenga umoja wa kitaifa, kwenye kuweka mfano wa kiongozi ambaye hajajilimbikizia mali, kwenye kupigania "territorial integrity" ya Tanzania kwa vita mpaka kumuondoa Idi Amin Uganda, kwenye mfano aliotuachia wa kung'atuka uongozi na kuwaachia wengine. Kwenye mfano aliotuachia wa "an African philosopher king".

Nyerere hana umasikini wa vitu tunavyoweza kumsheherekea.

Lakini, hilo halina maana kwamba hatuna ya kumkosoa na kumlaumu kama kwenye hayo ya sheria za kikoloni.

Nyerere mwenyewe kama mwanafalsafa hakututegemea tusimkosoe. Yeye mwenyewe katika maandishi yake aliyoandika mwenyewe kama "Tujisahihishe" alikubali kuwa ana makosa pia.

Muandishi nguli wa Kirusi aliyeshinda nishani ya Nobel ya fasihi ya uandishi mwaka 1970, Alexander Solzhenitsyn aliandika hivi.

"If only there were evil people somewhere insidiously committing evil deeds, and it were necessary only to separate them from the rest of us and destroy them. But the line dividing good and evil cuts through the heart of every human being. And who is willing to destroy a piece of his own heart?

During the life of any heart this line keeps changing place; sometimes it is squeezed one way by exuberant evil and sometimes it shifts to allow enough space for good to flourish. One and the same human being is, at various ages, under various circumstances, a totally different human being. At times he is close to being a devil, at times to sainthood. But his name doesn't change, and to that name we ascribe the whole lot, good and evil.

Socrates taught us: 'Know thyself!"


Alexander Solzhenitsyn, The Gulag Archipelago
 
Usimsifie mandela alicopy mfumo wa apartheid kama ulivyo tofauti ni kwamba walikua watu weusi wasiokua na vision kama Ilivyo kwa watu weupe ndo maana hali ya south afrika kiuchumi ni mbaya sana
 
kuchukizwa na wakoloni sidhani,maana katibu muhtasi wake wa maisha alikua mzungu,na aliteua mawaziri wazungu
 
Usimsifie mandela alicopy mfumo wa apartheid kama ulivyo tofauti ni kwamba walikua watu weusi wasiokua na vision kama Ilivyo kwa watu weupe ndo maana hali ya south afrika kiuchumi ni mbaya sana
Acha kukariri, aliyekuambia uchumi wa SA upo hoi ni nani?,Tanzania tunadaiwa $34bn, na why viongozi wetu wanafia millpark Netware na sio Temeke Hospital?,upumbavu ni mtaji mkubwa wa royal families, tezi dume mtu kakimbilia USA na sio Mwananyamala hosp
 
Wewe malaya inakusaidia nini kuandika uwongo hapa? Kama umekosa mtu wa kukutia kanunue dildo ujifanye mwenyewe.

Achana na baba wa taifa
 
Kuna jambo ulitaka kutuelekeza lakini umekwama places.Hebu toa part 2/featuring ya sledi tuone ulitaka nini hasa!
 
Mungu azidi kumlinda Nyerere huko aliko kwani bila yeye Madiba asingetoka gerezani na kuja kuwa Rais wa South Africa.
Huu ni upumbavu mwingine, yale yale ya kusema Nyerere ndiye pekee aliyeikomboa Tanganyika, soma hii,soweto 1976 students uprising ndio ilichochea mabadiliko ya utawala wa rangi ndani SA, pia president wa National Party, DE Kleck, mauaji ya Chris Hani haya ndio yaliyoleta mabadiliko kule na sio front line states, anc&pac hawajawahi kufanya battles na jeshi la buru, bila shaka umeelimika kidogo,penda kujisomea ili kuondoa upumbavu wa ndio ndio
 
Watu ni wapumbavu sana... nani kiongozi Tanzania. hii kama Nyerere..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…