Hutakiwi kuwalaumu CCM wakati hata upinzani wamekubali kuingia kwenye serikali.
kuingia kwenye serikali ni suala la kikatiba ndugu. wapinzani wanaangalia vita yao ya kisiasa vipi waende nayo. Na ndio kuna mika huigomea kuna miaka huingia. Hilo haliwezi ondoa uovu waa CCM kwenye hii nchi.