"Hivi karibuni" inaanzia lini?
huwezi kuelewa mazingira sababu unaonekanwa hujawahi kuishi Zanzibar, kwa miaka 20 sasa population ya watu kutoka Tanganyika imekuwa iki grow kadri siku zinavyokwenda ndani ya Zanzibar, na tatizo linakuja ni kuwa huwa wanaji involve kwenye politics, kwa kifupi tu mbara akishafika Zanzibar wengi wao wanaanza kuitumikia CCM, mda mwengine CCM hutumia hata vitisho kwao, na ndio sababu kubwa ya ugomvi mkubwa baina ya Wazanzibari na wabara kule Zanzibar.