Zanzibar wakiamua kuukataa muungano CCM haitaweza kutawala huko wewe.
Hao Wazanzibari wenyewe wengi tu ni CCM, sasa utasemaje Tanganyika inaendelea kuitawala Zanzibar kwa kupitia CCM kama vile hakuna Wazanzibari kwenye CCM.
You are contradicting yourself.
People get the leadership they deserve, unaelewa maana ya huo msemo?
waafuasi wa CCM Zanzibar hawafiki hata 10% ya wazanzibari. CCM Zanzibar inategemea kura za wabara wanaoishi kule, na ndio moja ugomvi mkubwa wa wazanzibari na wabara kule visiwani.