Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani nichape maiti take viboko mia sababu alikuwa ni mlevi wa madaraka ila nashangaa kuna mijitu inamuita baba wa taifa.
Hivi jamani baba Gani anarithisha wanae ujinga na umasikini, hivi baba Gani ni muongo muongo kama huyu mzee yaani yeye ndio mzizi wa umasikini sababu kakaa kwenye nchi miaka 25 hamna alichokifanya, kazidiwa na Magufuli aliyekaa miaka 5 tu.