Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

Kijana mtoa hoja asikilizwe na kujibiwa hoja zake ili aelewe, asitukanwe na kubezwa sababu sio wote wanafahamu umuhimu wa Nyerere katika taifa hili.

Mzee mwenzangu Huihui2 muelimishe kijana kwa hekima atakuelewa tu.
Laiti angeanza kama unavyoandika wewe kwa nidhamu, ningetumia muda wangu kumuelimisha. Lakini ameanza kwa "kufuru na kejeli: ya kupiga kaburi!!
How do you educate a sociopath?
 
Laiti angeanza kama unavyoandika wewe kwa nidhamu, ningetumia muda wangu kumuelimisha. Lakini ameanza kwa "kufuru na kejeli: ya kupiga kaburi!!
How do you educate a sociopath?
Kweli kabisa mkuu, upo sahihi.
 
Back
Top Bottom