Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

Weka picha moja tuone mtu akimpigia Nyerere Magoti. Yaani umetoka kuuza mkundu chooni unakuja kumtukana Baba wa Taifa hapa?? Imbecile
Hahaha nyie wazee mlikua mnaramba miguu ya nyerere mpaka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayati mwalimu Julius kambarage Nyerere ni rais pekee mwenye utu na thamani Sana katika afrika ya mashariki na Tanzania kwa UJUMLA.

Nyerere aliona watanzania hawana mihemko na kutaka kujifunza kuelewa mambo ya mbeleni hasa kisiasa maendeleo ya uchumi na jamii

hivyo ukajipa muda kuliongoza taifa la Tanzania ingawaje Kuna mabaya na mazuri amefanya kwanyakati tofauti la hasha tutete yale yajayo acha na ndwele yapitayo.


kwa maisha ya Sasa ni sisi wenyewe wananchi kuamua nini tunataka na nini hatutaki maamuzi yaanza na mimi na wewe sio kiongozi. 😃😃
 
Kijana mtoa hoja asikilizwe na kujibiwa hoja zake ili aelewe, asitukanwe na kubezwa sababu sio wote wanafahamu umuhimu wa Nyerere katika taifa hili.

Mzee mwenzangu Huihui2 muelimishe kijana kwa hekima atakuelewa tu.
 
Mkuu sasa ukishindwa kuandika maoni na kumuita kiazi wakati yeye ametoa hoja zake hajajibiwa,
Huoni kwamba wewe ndio utaonekana kiazi?
Umesema vyema kabisa. Wamjibu kwa hoja sio kkumtukana. Nyerere mwenyewe aliwahi kukubali alifail kiuchumi kwenye ujamaa lakini kijamii ujamaa ulifaulu. Video imegoma ku upload ila inapatikana YouTube ni mahojiano alifanya 1996 huko New York

Ni ajabu Nyerere akubali kufail lakini watetezi wanamtukana jamaa. Huenda amekosea uwasilishaji ila ana hoja
 
Back
Top Bottom