Sindano za sumu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 296
- 738
Kumbe kama hatuwezi badili chochote ata tukae miaka 100 mbele utamlaumu mwalimu tu.Still tunatumia katiba ya mwaka 1977 ambayo iliundwa wakati Nyerere akiwa Rais na katiba hiyo ndo ambayo imetengeneza na kusimamia mifumo yote ya kiuongozi ya sasa sasa unasemaje hausiki
Ccm hawawezi badilisha katiba ya sasa sababu inawafaidisha sana na hata wakibadilisha itakua ni katiba mpya jina ila maudhui ni yale-yale ya katiba ya zamani
Huwezi badilisha kitu/jambo ambalo linakufaidisha ndo kilichotokea mwaka 2014 kwenye katiba ya warioba
weweUnatafuta fursa ya kuolewa huko?
Huo ni uamzi wako, sisi hayatuhusu hayo.Kama
wewe
Ndio uendelee na hizo movement sasa, Nyerere muache apumzike kwa amani.Unajua katiba ya mwaka 1977 inavyoitesa nchi mpaka leo na pia mimi ndo maana nimeanza movement ya kuwa Rais wa Tanzania ili kuhakikisha nchi inakua na katiba nzuri zaidi ya hii iliyopo
Naona Una enjoy kuliwaHuo ni uamzi wako, sisi hayatuhusu hayo.
Wewe ndiye fundi wa hayo mambo, naona unapenda sana ndiyo yawe mjadala.Naona Una enjoy kuliwa
Ewaaah !Hapo unaweza kuta mtoa post ana cheti cha degree au masters fulani ndani. Aibu hii !!
Mwalimu kafariki miaka 27 imepita...
Awamu nyingi zimepita na zinaendelea bila uwepo wa mwalimu.
Katika circle ya wafanya maamuzi mazito ya nchi wapo watu wengine nje, si mwalimu tena.
Je, tusubiri mwalimu afufuke kutoka kwa wafu aje aturekebishie tunayomlaumu leo ?
Je, tuwakomalie waioshika hatamu sasa ktk vyombo vya kimaamuzi ili wafanye maamuzi ya kubadili katiba kulingana na wakati tuliopo au vizazi na vizazi tuendelee kumlaumu mwalimu ?
Kuna mahala mwalimu aliweka azimio kuwa katiba na yote aliyoyaanzisha yasijebadilishwa ata kama hayaendani na nyakati husika ?
Awamu ya 4 alijaribu ishu ya katiba na ilifika pazuri, wakaivuruga wao wenyewe kule ndani, nalo tumlaumu mwalimu aliekua kalala zake miaka mingi nyuma....
Hatuwezi yashinda mabadilko kwa akili hii ya kulia na mtu ambae kapumzika zake miaka mingi nyuma.
Kama kweli sio wanafiki, waoga, machawa na watumwaji.. Tuangalie wenyewe nini kifanyike kujinasua hapa tulipo.
Wanufaika wote wa mfumo utawaona wakimlaumu Mwalimu kwa hii Katiba iliyopo !Tunatumia katiba ya mwaka 1977 mpaka sahivi navyoandika hii sms sasa kwanini asilaumiwe
Inaonekana hujui somo la katiba na legacy