Nyerere alipenda sana chama cha CCM kuliko nchi ya Tanzania

Nyerere alipenda sana chama cha CCM kuliko nchi ya Tanzania

Ujamaa hauna shida.

Tembeeni dunia za watu muone, muache kuishi kwa stori za vijiweni.
Kuna watu bado wameganda kwenye siasa za "Vita Baridi", mapambano ya mataifa ya Magharibi na yale ya Mashariki.
Dunia imekwishasonga mbele; lakini bado 'propaganda' zimewajaa vichwani.
 
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana

Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana

Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi

Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
  1. Mabadiliko ya mwaka 1979
  2. Mabadiliko ya mwaka 1980
  3. Mabadiliko ya mwaka 1980
  4. Mabadiliko ya mwaka 1982
  5. Mabadiliko ya mwaka 1984
  6. Mabadiliko ya mwaka 1990
  7. Mabadiliko ya mwaka 1990
  8. Mabadiliko ya mwaka 1992
  9. Mabadiliko ya mwaka 1992
  10. Mabadiliko ya mwaka 1994
  11. Mabadiliko ya mwaka 1995

Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba

Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi

Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Nyoka anajivua gamba halafu anadai yeye sio sawa na Nyoka wengine....
 
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere
 
Mwalimu aliweka Misingi.
Sisi vijana wa sasa ni kujenga Nyumba Tanganyika.

Okoeni nchi yenu

Mwalimu alikiwa England maneno yake ya mwisho kabisa alisema.

"Ipendeni nchi yenu kama mnavyowapenda mama zenu".
Jk nyerere.
 
Sasa kama anaingia bila visa hiyo passport utalinganisha na wewe!?
Beside amini unacho amini

Wengi mnachanganya free movement na uholela. Katika EU au US, kila mtu ana ID, namba ya kodi na anatambulika rasmi kwenye mifumo ya serikali. Huwezi kuhamia au kufanya shughuli muhimu bila kuwa na utambulisho halali.

Wengi mnadhani mtu anaweza kutoka Togo kwenda Afrika Kusini bila kitambulisho wala nyaraka zozote kwa sababu tu ni Mwafrika. Free movement bila mifumo imara ya utambulisho, usalama na usimamizi wa mipaka mtasambaza tu uhalifu, ugaidi na umasikini maana nchi nyingi za Afrika hazizalishi chochote kile cha maana.

Haiwezekani nchi moja ijenge mifumo imara ya usalama, uchumi na utawala halafu watu waingie na kutoka kiholela. Ili free movement ifanikiwe, nchi zote zinapaswa kuwa na mifumo inayoendana kwa asilimia kubwa kiusalama, utambulisho wa wananchi na uchumi.

Africa is vast and diverse, and it cannot be a single country. Ndani ya nchi moja kama DRC, watu wa Kinshasa na Lubumbashi wana tofauti kubwa za lugha na tamaduni licha ya kuwa chini ya taifa moja. Hilo pekee linaonyesha kwamba kuwa ndani ya mipaka moja hakumaanishi moja kwa moja maendeleo au mshikamano wa kiwango cha juu.

Wazo la Africa moja ni wazo finyu, and I'm glad it will never happen anytime soon. Mnaweza kuendelea kama EU so long as kila nchi inafanya sehemu yake. Leo hii Morocco hana chochote kila cha kujadili na Burundi.
 
"Msingi" unaoweza kurekebishika, kwa kufanyiwa marekebisho?

Msingi unaouzungumzia wewe ni wa hao marafiki zako usiotaka kuwatupia lawama kwa kuung'oa msingi sahihi.
Marafiki zangu wapi mimi sio ccm na sina rafikia au ndugu ni kiongozi wa ccm

Vijana Nyerere aliowaachia chama ndo hawataki kubadilisha misingi unapataje nguvu ya kunlaumu
 
Mimi naweza kutetea "ujinga"; lakini ni wazi kabisa hapa kwamba wewe unatetea upumbavu, hata hujui unachotetea.
Hizi beji za platinum mnapewa kwa kigezo cha uelewa au upumbavu mlio nao?.
 
Mnamlaumu mtu ambaye hawezi kuwepo tena kwenye huu ulimwengu?
 
Wewe sina haja ya kuhangaika nawe leo hii, kwa sababu naona ni mbovu zaidi ya huyu niliye naye leo.
Subiri zamu yako siku nyingine.
Kisa umeolewa familia ya Nyerere ndiyo unatetea sana ujinga wake
 
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana

Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana

Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi

Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai
  1. Mabadiliko ya mwaka 1979
  2. Mabadiliko ya mwaka 1980
  3. Mabadiliko ya mwaka 1980
  4. Mabadiliko ya mwaka 1982
  5. Mabadiliko ya mwaka 1984
  6. Mabadiliko ya mwaka 1990
  7. Mabadiliko ya mwaka 1990
  8. Mabadiliko ya mwaka 1992
  9. Mabadiliko ya mwaka 1992
  10. Mabadiliko ya mwaka 1994
  11. Mabadiliko ya mwaka 1995

Mabadiliko 11 ya katiba yalifanyika wakati Nyerere akiwa hai ila cha ajabu haikuondoa mambo ambayo yanalalamikiwa kama madaraka makubwa ya Rais cha ajabu Nyerere mwenye alikuwa analalamikia madaraka makubwa ya Rais mpaka alinukuliwa akisema mkipata Rais mbovu atakuwa dikteta ila yakija mabadiliko haondoi hicho kinachomfanya Rais kuwa dikteta na kipo ndani ya katiba

Nyerere ni mwadilifu hili liko wazi hakuna anayebisha ila alisahau alitengeneza mfumo ambao unatoa mwanya kwa watu waliopewa dhamana kufanya ubadhirifu bila kichukuliwa hatua yeyote ile mfano katiba ya Tanzania inasema waziwazi bila kificho Rais akimaliza mda wake hatastakiwa hii ni hatari sana kama akipatikana Rais mbovu atafanya mambo akijua kabisa anakinga ya kutostakiwa swali la kujiuliza kwanini Nyerere aliruhusu kuwepo kwenye katiba sababu alikuwa ana uwezo wa kukitoa ila kwenye amendment zote zilizofanyika yeye akiwa hakuwa kukiondoa hiki kipengele ila akija majukwaani akawa anaendelea kulalamika madaraka ya Rais ni makubwa sana lakin jibu ni lile alikipenda sana chama kuliko nchi

Hata sasa hivi malalamiko ya katiba ni mengi ila sidhani kama kuna kiongozi aliyetoka ccm atakubali kuibadilisha katiba kama watu wengi wanavyodhani kwa sababu viongozi wengi wa ccm wanapenda chama kuliko nchi
Alilipenda katoliki kuliko nchi
 
Mwalimu aliweka Misingi.
Sisi vijana wa sasa ni kujenga Nyumba Tanganyika.

Okoeni nchi yenu

Mwalimu alikiwa England maneno yake ya mwisho kabisa alisema.

"Ipendeni nchi yenu kama mnavyowapenda mama zenu".
Jk nyerere.
Huo Usia ulitungwa tu na wahuni wa zama hizo.
Wewe umekuwa mgeni kwenye nchi yako wewe?
Nyerere was gravely sick a month before his death, watoto wake mwenyewe walipelekwa London baadae, kumsabahi, akiwa hoi kishapooza, haongei, yupo kwenye oxygen.....hayo maneno aliyaongea lini.
 
Back
Top Bottom