Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM. Mrema, Sumaye na Lowassa wameshindwa. Je, kuna mwingine?

Kwa CCM hii NEC ni Tume huru ya uchaguzi ndio maana kina Mbowe wako bungeni na hawajawahi kulalamika!
Acha kujishusha hadhi nawe kama hiyo mizigo mingine ya Lumumba!
Hivi kutangazwa ambako mpaka watu walale vutuoni kulinda kura, ngumi zipigwe, mabomu ya machozi yalipuliwe ndio tumehuru hiyo?
Nenda hata hapo South tuu, ukiona makosa ujue ni ya kibinadamu na hakuna kelele ndio maana watu kama Malema wapo bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule wanachagua chama bwashee siyo mtu.....kuna tofauti kubwa hapo!
 
yani ukitaka mwanaCCM atanukwe na pua kwa jazba muambie swala la tume huru ya uchaguzi 🤣 🤣 🤣
Hahahaaaaaa....... Hizo ni dalili kwamba umeelewa.

Mwambie Mnyika asubiri hiyo Tume huru ndio mshiriki uchaguzi...... Halafu tuletee majibu yake hapa!
 
..kwenye nchi za wenzetu watu wanapiga kura halafu wanaenda zao majumbani.

..pia Polisi hawaonekani ktk vituo vya kupiga kura.

..Ni ustaarabu kwa kwenda mbele.
 
huku mambo ni hivi

FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Mwalimu aliyafikiria hayo kwa kuamini kuwa, watawala wa CCM watakuwa genuine. Sidhani kama alifikiria kuwa kwenye karne hii bado Tanzania ingeongozwa kwa mithili ya wanyama pori ambapo mwenye nguvu humla aliye dhaifu bila woga wala mashaka yoyote.

Tanzania ya sasa imerudi na kuwa semi primitive.
 
Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba.

Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji.

Hivi hii ndoto ya Nyerere inaweza kutimia kwa namna gani?

Maendeleo hayana vyama!
Hivi kila alilolisema Nyerere lazima litimie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umpizani wa kweli hauwezi kutoka ndani ya CCM. Nyerere hakuwa nabii aliposema upinzani wa kweli utatoka CCM zilikuwa hisia zake tu. Hayo mawazo ya Nyerere ndo yamewazubaisha hata wapinzani wa kweli na kuanza kuwadaka wapenda matumbo yao toka CCM. Bahati nzuri muda ni mtafiti mzuri amewaonyesha kwamba Nyerere hakuwa sahihi. Hivyo fikra mpya za kujenga nchi haziwezi kutoka CCM zikajenga upinzani. Chemichemi ya fikra mpya za kujenga upinzani zitatoka nje ya CCM.
 
Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba.

Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji.

Hivi hii ndoto ya Nyerere inaweza kutimia kwa namna gani?

Maendeleo hayana vyama!
katika mazingira ta demokrasia siyo ya udikiteita kama huu wa magfuli. Upinzani wa kweli hauwezi kutokea kqwwa akina Sumaye maana wameumizwa, wanatafuta kurudishiwa mal zao!
 
Nasikia uchaguzi wa 1995 yeye mwenyewe aliielekeza tume ya uchaguzi ZNZ ibadilishe matokeo, Ya Maalim apewe Salmini na ya Salmin yasomeke Ya Maalim, nasikia ndo mwaka huo huo alisema " I can't let my country go to the dogs" na akasema hatuwezi kuwapa chadema nchi, bado wachanga. Kauli zingine huwa ni za kujikosha tu. Usiwaamini sana mboga mboga.
 
Acha kujishusha hadhi nawe kama hiyo mizigo mingine ya Lumumba!
Hivi kutangazwa ambako mpaka watu walale vutuoni kulinda kura, ngumi zipigwe, mabomu ya machozi yalipuliwe ndio tumehuru hiyo?
Nenda hata hapo South tuu, ukiona makosa ujue ni ya kibinadamu na hakuna kelele ndio maana watu kama Malema wapo bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
South mbali, mwambie aende MALAWI tu hapo.
 
Ccm itapasuka ila inategemea ubora wa uongoz huu.
 
Umpizani wa kweli hauwezi kutoka ndani ya CCM. Nyerere hakuwa nabii aliposema upinzani wa kweli utatoka CCM zilikuwa hisia zake tu. Hayo mawazo ya Nyerere ndo yamewazubaisha hata wapinzani wa kweli na kuanza kuwadaka wapenda matumbo yao toka CCM. Bahati nzuri muda ni mtafiti mzuri amewaonyesha kwamba Nyerere hakuwa sahihi. Hivyo fikra mpya za kujenga nchi haziwezi kutoka CCM zikajenga upinzani. Chemichemi ya fikra mpya za kujenga upinzani zitatoka nje ya CCM.

CCM haiwezi kupasuka Leo Wala kesho.... Kuindoa CCM itahitaji mbinu thabiti, hoja za nguvu, haki sawa, ili kuwa na upinzani imara usio teteleka...

Kusubiri makando kando ya CCM na kuwaamini ni kujipotezea muda kwa wapinzani..
 
Robo tatu ¾ ya wazungusha mikono na wapiga deki walikuwa hawajajiandikisha kupiga kura, hizo kura Milioni 10 zimetoka wapi?
Wewe mzungusha kiuno hizi takwimu umezipata wapi au ndiyo mnavyodanganyana wakati mnakuna nazi?
tapatalk_1576643810730.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom