Nyerere alisema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM lakini CHADEMA haitakufa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.

Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?

Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?

Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!
 
Jamaa yako nasikia anabadiri dini ili iwe rahisi kuukwaa urais, huyu ni mwanasiasa fulani kijana kutoka mkoa wa Tanga, kigezo kikubwa ni kwa sababu mama yake ni mgaratia.

Yote hii ni ili tu aweze kuwa mgombea wa urais 2030, kazi kwenu ambao watoto wenu mnawalazimisha kukalili maandishi yaliyoko kwenye madaftari ya skuli.
 
Mwamba aliuanzisha huo upinzani uliotabiriwa lakini kwa bahati mbaya kabla ya kuukamilisha kikatokea cha kutokea !! Lakini utabiri bado upo Valid !!
 
Jamaa yako nasikia anabadiri dini ili iwe rahisi kuukwaa urais, huyu ni mwanasiasa fulani kijana kutoka mkoa wa Tanga, kigezo kikubwa ni kwa sababu mama yake ni mgaratia.

Yote hii ni ili tu aweze kuwa mgombea wa urais 2030, kazi kwenu ambao watoto wenu mnawalazimisha kukalili maandishi yaliyoko kwenye madaftari ya skuli.
Yule ni mkkkt pale kwa Daktari Kimaro aliye likizoni!
 
Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.

Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?

Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?

Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!
Yes na huo ndio ukweriii ✔️
 
Mama Jo katupia nyingine ingia umsome
 
Hata Mikhail Gorbachev aliyeasisi Perestroika alikuwa Katibu Mkuu wa CPSU na kigogo ndani ya KGB, na pia Frederik Willem de Klerk aliyehitimisha Sera za ubaguzi alikuwa Kaburu,tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Kwani Nyerere alikuwa Mungu mkuu? Au Nabii ...

Kuna mambo aliharibu sana, hasa kudumaza akili za watu wake.

Nchi hii watu wenye akili wanakaa kimya kuhofia umafia wa mifumo aliyoasisi yeye ya kudumu madarakani.
 
Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM

Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu[emoji3]

Mlale unono!
Nyerere;watanzania wanataka mabadiriko wasipoyapata ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm,
 
Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM

Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu😀

Mlale unono!
Tunasubiri utabiri utimie ??!!
 
Back
Top Bottom