Nyerere alisema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM lakini CHADEMA haitakufa!

Ndio maana wametoa mtoto wa karume baada ya kuwaambia ukweli
 
Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM

Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu😀

Mlale unono!
Huyu Nyerere kwa uchu wa madaraka ndiye alitutengenezea KATIBA hii mbovu, katunyima elimu matokeo yake ndo haya Msukuma kaishia la Saba kenda tembelea mwekezaji Dubai.
 
King Msukuma aka Bilionea wa dhahabu ya Mchongo 😂😂
 
Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM

Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu😀

Mlale unono!
Karne ya 21 hii unatuletea falsafa za mtu wa karne ya 20, ww utakuwa ni mzee lazima.
 
Wapinzani nao hawaeleweki. Kina Zito na lissu hawana mwelekeo halisi
Wanaeleweka vizur sana.

Zitto ni pro system... anapenda sana watawala japo wanamtenga kiaina.

Lissu ni Against the system... and he wants the overall change.

Choose your fighter.
 
Karne ya 21 hii unatuletea falsafa za mtu wa karne ya 20, ww utakuwa ni mzee lazima.
Nyerere ni baba wa ubatizo wa mwenyekiti wa Chadema!

Kiukweli sisi ni wazee na tumeitunza sana bandari 😃
 
watanzania wote walikuwa chini ya ccm sasa Nyerere asemeje?.
 
Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM

Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu😀

Mlale unono!
Unamkumbuka Himidi Mansoor mkwewe akina Ally na Amaan,
alikuwa mwakilishi wa CCM jimbo la Kiembe samaki?
 
Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM

Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu😀

Mlale unono!
Kukiwa na tume huru , CCM imekwisha. Hili la bandari linaiondoa. hata huko nyuma Lowasa alishinda
 
Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.

Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?

Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?

Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!

Support valuable itatoka ccm, siyo lazima iongoze
 
Back
Top Bottom