johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwamba aliuanzisha huo upinzani uliotabiriwa lakini kwa bahati mbaya kabla ya kuukamilisha kikatokea cha kutokea !! Lakini utabiri bado upo Valid !!Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.
Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?
Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?
Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!
Yule ni mkkkt pale kwa Daktari Kimaro aliye likizoni!Jamaa yako nasikia anabadiri dini ili iwe rahisi kuukwaa urais, huyu ni mwanasiasa fulani kijana kutoka mkoa wa Tanga, kigezo kikubwa ni kwa sababu mama yake ni mgaratia.
Yote hii ni ili tu aweze kuwa mgombea wa urais 2030, kazi kwenu ambao watoto wenu mnawalazimisha kukalili maandishi yaliyoko kwenye madaftari ya skuli.
Yes na huo ndio ukweriii ✔️Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.
Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?
Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?
Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!
Jo wacha uongoYule ni mkkkt pale kwa Daktari Kimaro aliye likizoni!
Amenyonyeshwa na mama mkristo huyo ni Zao la Yesu!Jo wacha uongo
Mama Jo katupia nyingine ingia umsomeNautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.
Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?
Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?
Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!
Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.
Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?
Je, wahafidhina wa CCM ni kundi gani, na wahafidhina wa CHADEMA ndio akina nani na falsafa yao ni ipi?
Siasa ni mchezo wa kuzidiana Akili na Fikra!
Huwa ananisoma sana na kuyachukua yaliyo mema!Mama Jo katupia nyingine ingia umsome
Kumbe KKKT siyo wagaratia?, Na ni Kimaro yupi huyo ambaye yupo likizo mzee wa ipogoro?.Yule ni mkkkt pale kwa Daktari Kimaro aliye likizoni!
Alisamehewa lakini Likizo iliendeleaKumbe KKKT siyo wagaratia?, Na ni Kimaro yupi huyo ambaye yupo likizo mzee wa ipogoro?.
Majuzi kati alikatishwa likizo akapewa msamaha.
Asingewaumiza wapinzani angefika mbali sana.Magufuli alikuwa mpinzani wa kweli
Nyerere;watanzania wanataka mabadiriko wasipoyapata ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm,Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM
Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu[emoji3]
Mlale unono!
Tunasubiri utabiri utimie ??!!Bado naitafakari hii kauli ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba Wapinzani wa kweli Watatoka ndani ya CCM
Namfatilia kwa karibu Balozi Karume kwa sababu Wazanzibari ndio wanajua Siasa Tanganyika Wamejazana Chawa watupu😀
Mlale unono!